Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Kabla ya ushindi wa Tundu Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema akimbwaga Freeman Mbowe, mchungaji Peter Msigwa alikuwa na kasi ya kutisha kwenye kuishambulia Chadema.
Alikuwa anazunguka mikoani na kwenye vyombo vya habari akiwashawishi watanzania kuachana na Chadema kwani ni chama kilichopoteza dira na kuendelea kukiamini chama hicho ni kupoteza muda.
Ghafla baada ya uchaguzi wa Chadema kuisha na mzee wa MIGA mtetezi wa Acacia Tundu Lisu kushinda, mchungaji Msigwa amegeuka bubu yani yuko kimyaaa.
Ikumbukwe huko nyuma Peter Msigwa alishapewa taji la mnafiki mkubwa kupita wote nchini, baada ya kumtukana Lowasa kwa muda wa miaka 10 mfululizo alafu baadae akazunguka nchi nzima akimnadi awe rais wa Tanzania, hivyo watanzania wanajiuliza je ni muda wa Peter Msigwa tena kuonyesha unafiki wake kuwa mchana ccm na usiku Chadema akimuunga mkono lisu?
Au anajiandaa kuonyesha unafiki wake kwa kurudi tena Chadema? Ikumbukwe Peter Msigwa alihamia ccm kwa hasira baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kanda ya nyasa na Joseph Mbilinyi Sugu