Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mchungaji akihitaji usafiri tumchangie hela ya gari, muumini akiumwa anaombewa. Nikasema hapa tunapigwa.Aaah! Mkuu, si bora ungesema " ni SIASA tu"; sasa na "DINI nayo?" Mwogope MUNGU Mkuu.