Ushindi wa Tundu Lissu umempoza mchungaji Peter Msigwa?

kama ameshakula mpunga wao, anahitaji nini tena?
 
..Msigwa alikuwa na matatizo na Freeman Mbowe.

..Na alikuwa amekata tamaa kama Mbowe ataondoka ktk uenyekiti wa Chadema.
 
Mmeshakula hasara.....mamilioni aliyokula ya wajinga anaenda kula bata.

Ccm kuliwa ni rahisi sana, we jifanye unaitukana chadema watakumwagia mahela.

Akina Yericcko wamepiga sana hela kipindi hiki cha uchaguzi😅😅
 
Imani ya Msigwa ilikuwa ni kwamba Mbowe ni dikteta hawezi kuachia kiti hata akishindwa kwenye uchaguzi. Lakini baada ya Mbowe kukubali kushindwa na kuachia kiti basi hapo hakuna hoja tena.
 
Tangu nimekua na kupata akili ya kuelewa mambo kwa undani baadhi ya masuala ambayo siishughulishi akili kuyafikiria ni wanasiasa na dini
 
Sema hivi; Mbowe ameponzwa na Msigwa! Kazi ya Msigwa imetukuka
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi na tabia yake ya udikteta ndo ilikua sababu ya Msigwa kuongea, msigwa hakua adui wa chadema ila alikataa utawala wa kimabavu wa dikteta mbowe
Kwahiyo alitafuta ukimbizi wa kisiasa CCM kwenye ustaarabu, Sasa anajiandaa kurudi Chadema au ndio kanogewa CCM?
 
Ata huko CCM kazi mliyompatia bado haamini? Mfukuzeni sasa au ameungana na kundi kubwa la wanafiki wa CCM kazi zinaendelea.
Mkumbushe Mzee Msigwa kuwa jana tokea asubuhi huku Iringa hapakwepo na Umeme tokea asubuhi kama ilivyokuwa Geita pia japo Iringa wana bwawa la Mtera inayozalisha umeme, sasa sijui utofauti wa eneo lenye chanzo cha umeme na maeneo yasiyo na chanzo cha umeme ni nini?
CCM na serikali yake bure kabisa.
 
Msigwa anafanya siasa ngumu sana akiwa CCN. Kufanya siasa ya vitu ambavyo huviamini ni ngumu sana. Bora aludi nyumbani CHADENA

Tumemuelewa sababu ya yeye kuondoka na kuxungumza yale yote ni Mbowe, sasa aludi tu njia ni nyeupe
 
Tangu nimekua na kupata akili ya kuelewa mambo kwa undani baadhi ya masuala ambayo siishughulishi akili kuyafikiria ni wanasiasa na dini
Aaah! Mkuu, si bora ungesema " ni SIASA tu"; sasa na "DINI nayo?" Mwogope MUNGU Mkuu.
 
Msigwa anafanya siasa ngumu sana akiwa CCN. Kufanya siasa ya vitu ambavyo huviamini ni ngumu sana. Bora aludi nyumbani CHADENA

Tumemuelewa sababu ya yeye kuondoka na kuxungumza yale yote ni Mbowe, sasa aludi tu njia ni nyeupe
Kipaji cha Msigwa ni unafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…