Ushindi wa Uhuru Kenyatta ni ushindi wa CHADEMA

Ushindi wa Uhuru Kenyatta ni ushindi wa CHADEMA

Kuhusisha ushindi wa Uhuru na Chadema, kwa kuwa tu Lowassa kampigia debe, ni fikra za kitoto. Mahusiano ya kiserikali si mtu binafsi, ni ya kitaifa.
 
Chadema hawana dira wamekuwa watu wa kudandia dandia tu vijimaneno visivyo na maana, eti ushindi wa Uhuru ni ushindi wa Chadema, ya kwenu Tanzania yanawashinda wanakurupukia ya jirani zao eti Kenya kuna demokrasia kushinda Tanzania,ni lini walishuhudia wakati wa kupiga kura Tanzania watu wakakimbilia Kenya kwa muda kusubiri uchaguzi upite? lkn leo tunawashuhudia Wakenya wakimiminika Tanzania kupitia mipaka ya Horiri,Namanga,Sirari na kule Busia kusubiri uchaguzi upite na matokeo yatangazwe. Hapo kipimo cha demokrasia ni kipi?
 
CCM hatukuwahi kutoa msimamo wowote huu ya uchaguzi Wa Kenya,kwahyo msitulishe maneno urafiki Wa JPM na Odinga sio fungate la jumla la CCM kwa kuwa urafiki wao si wakisiasa tuu ni zaidi ya Siasa wakati nyie na Kenyatta urafiki wenu ni zaidi Wa Kisiasa...Nasema tena CCM msitulishe maneno wala kutuingiza huko
 
Hatari sana, upinzani wa Tanzania unashangilia ccm ya kenya aka KANU iliyobadili jina, nyumbani chadema iko hoi bin taaban, badala ya kufanya mikakati ya ndani wanashangilia yeyote wanayehisi ni mpinzani wa JPM kumbe sivyo, Naapa ukawa hii kamwe haitashinda ndani ya ardhi hii.
 
Mnashangaza sana chadema kushabikia wizi wa kura nchi jirani buku tukilalamikia rafu hizo hizo hapa nyumbani. Mwenzako akinyolewa zako tia maji
 
Mkuu hawawezi kukujibu bado wanaugulia moyoni

Hivi kwanini hamuachi kujipendekeza nyinyi? Uhuru hakuhitaji kabisa mchango wa lowasa kwani haukuwa na tija yoyote.
wakenya wanahitaji kiongozi wa kupambana na ufisadi na ndiomana Magu alikuwa role model wao hawa wote wawili, yani kenyatta na odinga ktk kuuza sera zao.
Hutamuona kenyatta hapa itakapofika 2020, mnaenda kugalagazwa vibaya sana yani.
Mimi nawaomba tu mujiandae kisaikolojia,
Na nikwambie tu ukweli ulio wazi, lisingekuwa tatizo la ukabila, Odinga angeachwa mbali mno.
 
Chadema hawana dira wamekuwa watu wa kudandia dandia tu vijimaneno visivyo na maana, eti ushindi wa Uhuru ni ushindi wa Chadema, ya kwenu Tanzania yanawashinda wanakurupukia ya jirani zao eti Kenya kuna demokrasia kushinda Tanzania,ni lini walishuhudia wakati wa kupiga kura Tanzania watu wakakimbilia Kenya kwa muda kusubiri uchaguzi upite? lkn leo tunawashuhudia Wakenya wakimiminika Tanzania kupitia mipaka ya Horiri,Namanga,Sirari na kule Busia kusubiri uchaguzi upite na matokeo yatangazwe. Hapo kipimo cha demokrasia ni kipi?
Kama ndo uchambuz huu wako ndo kipimo cha demecrasia basi tumekwisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema ime be-friend na uhuru si kwa hizo sababu ulizozitaja, eti ni nchi yenye uchumi mkubwa, sijui demokrasia ipo juu, hapana, ni kwa sababu mliona kwamba magufuli anaurafiki na odinga basi!
hii inamaanisha kwamba, kama magufuli angekuwa upande wa uhuru, chadema mgemsapoti odinga.
ni mwendelezo tu wa kuonesha kwamba hakuna mnachoweza kusimamia kwa sasa, zaidi ya kusubiri magufuli kafanya/kasema nini, ili mpate pa kutokea.
yaani chadema leo ninyi ni wa kusapoti chama tawala?
 
CCM wataongea weee ila Unaweza kuwajibu hamadi kibindoni.
Unaweza pia kuwajibu Kimfaacho mtu chake!

Mimi nasema Hongera Uhuru , hongera CHADEMA.

Kwanini hongera CHADEMA?

Ni upuuzi, Actually ni wapuuzi tu wanaoweza kuubeza ushindi wa kimkakati wa CHADEMA kuwa na rafiki anayeongoza uchumi mkubwa kuliko yote Africa Mashariki.

Kenya ni kubwa karibu kila nyanja Africa Mashariki;
☞Ndio wenye uchumi mkubwa kuliko yote Africa mashariki .
☞Wana jeshi kubwa na la kisasa.
☞Wana kambi pekee ya Special Forces ya USA- Camp Simba hapa Africa mashariki.
☞Ni demokrasia iliyokomaa ukilinganisha na zote hapa Africa Mashariki.

Kuna msemo usemao, Ukitaka kumfahamu mtu basi waangalie marafiki zake.
Ukitaka kumfahamu Magufuli na CCM basi muangalie;
☞Paul Kagame
☞Yoweri Museveni
☞Nkurunzinza

Na Ukitaka kumfahamu Lowassa na CHADEMA basi muangalie Uhuru Kenyatta!

Leo nimejikumbushia kidogo miaka nikiwa Seminari na nikamkumbuka Yesu na familia ya kina Martha na Lazaro ambayo Yesu aliipenda sana. Unaweza kusema familia rafiki kwa Yesu.

Basi wakati Lazaro ameugua sana, Martha dadaye alituma ujumbe kwa Yesu kuwa rafiki yako anaumwa sana, hawezi tena.
Nakumbuka Yesu alimjibu kuwa, 'Ugonjwa huu sio kwaajili ya Mauti ila kwaajili ya utukufu wa Mungu'.

Naomba kwa leo niwaache na neno hilo hapo juu ndugu zangu!
Ni lini CCM wametoa msimamo wa kumsupport Raila Odinga na NASA yake??
 
Abadan Kenya ,Afrika kusini na Tanzania upinzani watashinda kwa miaka 100 ijao

Ushindi wa Uhuru hauna effects yeyote kwa Chadema na kushindwa kwa Raila hauna effects yeyote kwa Magu ,

Ila mtambue wapinzani nchini Kenya ,South na Tz Abadan hawawezi kushinda kila chaguzi lowassa ,Raila wataishia kujikomba komba tu ila hawatoshinda kamwe kwangu mm Raila na lowassa wanapoteza muda tu
Ila waache waendelee kuwepo angalau dunia Ione chaguzi zetu kuwa ni za kidemokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abadan Kenya ,Afrika kusini na Tanzania upinzani watashinda kwa miaka 100 ijao

Ushindi wa Uhuru hauna effects yeyote kwa Chadema na kushindwa kwa Raila hauna effects yeyote kwa Magu ,

Ila mtambue wapinzani nchini Kenya ,South na Tz Abadan hawawezi kushinda kila chaguzi lowassa ,Raila wataishia kujikomba komba tu ila hawatoshinda kamwe kwangu mm Raila na lowassa wanapoteza muda tu
Ukweli mtupu labda kwa south inaweza kutokea lakini hawa wengine wanajifariji ilhali wanajua kwamba hawatashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urafiki wa Magufuli na Odinga sio wa leo watu kuchanganya urafiki wao na Yeye kuwa mgombea ni ujinga kiwango cha treni ya umeme.

Though [emoji736] Uhuru
 
Back
Top Bottom