Ushindi wa Uhuru Kenyatta ni ushindi wa CHADEMA


Yumukini wanatwanga maji kama vile Maalim anavyotwanga maji kwenye kinu!
 
Ndo maana Mkapa anawaita wapumbavu!

Eti ni ushindi wa CHADEMA....hahahahaaaa.

Mmeishiwa kabisa nyie.
 
Halafu 2020 mkishindwa muanze kulalamika mumeibiwa kura badala ya kufanya mikakati ya kichama na taifa nyie mnashangilia ya Kenya
Halafu mwanaume mzima unakuja kusifia vitu vya Kenya, eti uchumi mkubwa, sijui eti jeshi limekuwaje - so what? Nashindwa kukutafasiri.
Umekalia Tati la mti halafu unalidharau na kwa kiburi unalikata ukiwa umekalia, mburura wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…