Mkuu wewe mwenyewe unafahamu ukombozi hauji kizembe. Hofu yako ni kutokuwa na ushawishi kwa watanzania walio wengi, na huo ndio msingi wa nilichokisema.Sisi unataka tutumie upanga na majambia au visu?
Ushawishi upo sana ila Chama cha Mapinduzi kina wasi wasi kuwa iwapo wapinzani wetu wakichukua nchi Muungano wetu hautadumu,pili ulaji tuliouzoea tutakosa kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama ni vyetu kwa nini tuweke uongozi rehani,njia moja ni kudhibiti wapinzani kuwa wanahamasisha fujo nchini.Mkuu wewe mwenyewe unafahamu ukombozi hauji kizembe. Hofu yako ni kutokuwa na ushawishi kwa watanzania walio wengi, na huo ndio msingi wa nilichokisema.
Ni kweli Africa tumebaki sisi Tanzania tu kung’ang’ania chama chakavu tangu uhuru wenzetu wote walishaachana na ujinga huu.Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu mmezidisha uonevu machweo yenu yaja.
Mkuu nakuelewa sana na tatizo ndo linaanzia hapa. Kama upinzani umezimwa kabisa, halafu katiba mpya bado ni kitendawili sasa tutafanyaje?Ushawishi upo sana ila Chama cha Mapinduzi kina wasi wasi kuwa iwapo wapinzani wetu wakichukua nchi Muungano wetu hautadumu,pili ulaji tuliouzoea tutakosa kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama ni vyetu kwa nini tuweke uongozi rehani,njia moja ni kudhibiti wapinzani kuwa wanahamasisha fujo nchini.
Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu mmezidisha uonevu machweo yenu yaja.
Hakika !Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu mmezidisha uonevu machweo yenu yaja.
Mkuu nakuelewa sana na tatizo ndo linaanzia hapa. Kama upinzani umezimwa kabisa, halafu katiba mpya bado ni kitendawili sasa tutafanyaje?
Mkuu suala si upinzani bali ni watu wa TZ ni tofauti sana na wa Zambia. Upinzani TZ wanajitahidi sana lakini somo la URAIA TZ hamuna, watu hawajui haki zao za msingi.huwezi linganisha upinzani wa zambia na huu wa kusuasua. Zambia walitaka mabadiriko ya kweli na wameyapata.
Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu mmezidisha uonevu machweo yenu yaja.
Mkuu tatizo la Tanzania ni kwamba vyama vya siasa vinataka watu wote wawe wanasiasa na wawe na vyama na hasa ccm, na ikibidi hata watumishi wote wa Serikali wawe CCM na kama watanzania ikiwapendeza hadi taasisi za kipolisi na kijeshi ziwe chini yake kama vitengo vyake. Je kwa hali hiyo kwa nini kisiitawale MILELE?Polisi wa Zambia na Tume ya uchaguzi Zambia wanajua wajibu wao ndiyo maana inawezekana ila kwa hapa kwetu kuna haja ya kupeleka hawa darasani wajue wajibu wao kwanza