matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi.
Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake?
Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya kiroho, Wasitafute kiki hadi kwenye kamati za ufundi'