Ushindi wa Yanga na kushindwa kwa Simba: Ubishi umefika mwisho, Yanga ni wa kimataifa!

Ushindi wa Yanga na kushindwa kwa Simba: Ubishi umefika mwisho, Yanga ni wa kimataifa!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Simba na Yanga walikuwemo kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Wote walianza kwenye hatua ya kwanza kwa kupepetena na timu za Msumbiji na Botswana.

Mechi za awali zilishuhudia Simba na Yanga zikipata suluhu na sare. Simba ilipata suluhu ugenini na Yanga ikapata sare nyumbani.

Yanga, wakithibitisha kuwa wao ni wa kimataifa, walipata ushindi wa bao moja huko Botswana. Wakasonga mbele. Simba, wakiwa nyumbani Taifa,waliambulia sare ya moja kwa noja na kufurushwa mashindanoni.

Hadi hapo, Yanga ndiyo wa kimataifa. Simba hubebwa na mashabiki wa Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Hata kuwazomea huwafanya kuchachamaa. Kuwepo mashindanoni wote, ni kumaliza ubishi.

Yanga wamedhihirisha kuwa wao ni zaidi ya Simba kwenye uga wa kimataifa. Pole ni sana Simba, ni zamu yetu Yanga kuwabeba mwaka huu!
 
Simba wamezingua sana.

Watakosa mapato ya jezi maana watu hawatanunua
Watakosa viingilio maana watu hawataingia
Mikataba ya makampuni itapungua.

Dharau kule Msumbiji ndio sababu ya Simba kufungwa.

Simba haikuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wa Yanga,Wabrazil
 
Back
Top Bottom