Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

Ushiriki wa timu za Tanzania CAF Confederation & CAF Champions League 2023/2024

Fei Toto asahau kurudi kwenye ule ubora wake alipokuwa Yanga. Na asipokuwa makini, ataishia tu kuwa mchezaji wa kawaida kama ilivyotokea kwa Frank Domayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unateseka na Fei?? Yeye sio shida zake.
 
Fei Toto asahau kurudi kwenye ule ubora wake alipokuwa Yanga. Na asipokuwa makini, ataishia tu kuwa mchezaji wa kawaida kama ilivyotokea kwa Frank Domayo.
Nilikuwa shabiki mkubwa sana wa fei Toto lakini aliniudhi sana alipoleta ushwahili wa kulishwa ugali kwa sukari ilahali wengine tunakunywa chai haina sukari ili kutunza hela za kununulia tiketi ya kumwona akiwa uwanjani. Pale ndipo nilipoamini kuwa Shuleless yake ilikuwa ni tatizo lisilo na tiba. Mbona Mayele kaondoka lakini watu hatumsemi? Ni kwa sababu aliondoka kistaarabu kwa kufuata taratibu wakati bado tulikuwa tunahitaji sana.
 
Azam kwa mara ingine tena anashindwa kufika hatua pili ya michuano ya kombe la shirikisho,ameshiriki mara kadhaa na hajawai kufika makundi.
 
Simba vs power dynamo kutoka
Zambia
 
Nadhani power dynamo wanawaza jinsi kufika makundi kwa kuitoa simba,nawatahadhalisha simba mpinzani sio mnyonge.
 
Timu yanga itacheza mechi ya mzunguko wa pili dhidi ya Al merek nchini Rwanda mji wa Kigali Pele stadium
 
Simba atacheza na power dynamo ya Zambia( Levi mwanawasa stadium
 
Result
CAF CHAMPIONS LEAGUE
Preminary round
 A
SAS 0-2  Young  Africans(¹leg)
Young African 5-1 ASAS (²lleg)

Second round
Power dynamo 2-2 Simba
(¹leg)

Al merlk 0-2 Yanga(¹leg)

CAF CONFEDERATION CUP
Preminary round
 JKU
1-4  Singida  Fountain  Gate(¹leg)
Singida 0-3 jku (¹leg)

 Bahir dar kanena 2-1 Azam(¹leg)
Azam 2-1 Bahir dar kanena(²Leg

Penalty Azam 3-4 Bahir dar kanena

Second round
Future fc 1-1 Singida fountain gate(¹leg)
Kila la kheri timu zetu wiki hii tufike makundi timu 3 iwe historia kubwa kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom