USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
 
Ushawahi kujiuliza serikali na dini tofauti ni nini?

Members wa hizo serikali na dini unawajua?
 
Usipokuwa chawa laxima utofautiane na mwenzako kutofautiana hoja sio kugombaba, akili ni nwele kila mtu ana zake.
 
Wewe naye tangu upanuliwe Mtwara akili zimekuruka.

Waliokupa kichapo ni JW na gesi imetoka hasira unawashushia TEC!

Kanjani wena?

Dr Matola

Shida upeo wako ni mdogo sana

Na hilo ni kwa kuwa bado unaishi kwa dada yako kupitia mgongo wa shemeji yako,hama katafute maisha ama sivyo utalazimika kumsaidia majukumu dada yako na mbaya zaidi kubeba mimba huwezi,je utayaweza hayo majukumu?

Town hapa
 
Friends and Our Enemies
"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
TEC ni zaidi ya unavyoijua acha kukariri yeyote anayeenda kinyume na TEC ameenda kinyume na utawala.
 
Kama nia yao ni kuipindua serikali ya ccm nawaunga mkono %100

Sasa shida kubwa akili zao ni ndogo

Just imagine Taasisi kama TEC inatukawa sasa na Malaya kama Mange unadhani heshima yao inaelekea wapi?
 
Dr Matola

Shida upeo wako ni mdogo sana

Na hilo ni kwa kuwa bado unaishi kwa dada yako kupitia mgongo wa shemeji yako,hama katafute maisha ama sivyo utalazimika kumsaidia majukumu dada yako na mbaya zaidi kubeba mimba huwezi,je utayaweza hayo majukumu?

Town hapa
Ooh gesi haitoki kiko wapi sasa? Umepakwa KY na gesi imetoka sasa hivi umekuwa vuvuzela la watesi wako na Bar-kwata.
 
Friends and Our Enemies,

"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Baada ya kipondo kutoka JWTZ akili zako zilihamia kwenye Makalio yako!!
 
Wanajamvi, huyu THE BIG SHOW muwekeeni hapa clip ya Dr. Kitima akitoa ufafanuzi wa mkutano wa TEC na Rais walipokaa Dodoma hivi karibuni labda ataelewa msimamo wao kabla ya October 29 na baada ya October 29.
Yawezekana hicho kipande kilikupita au umejisahaulisha maksudi ili tuendee kupotosha jamii.

Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?

Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita

Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko

Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
 
Sasa wakishirikiana kuna ubaya gani ikiwa serikali yenyewe ni dhalimu?

Basi ni vyema wachague upande tujue tunapigana na nani,kuliko kuja wakinyata nyata huku wakidhani kwamba hatutawatambua.
 
Back
Top Bottom