USHIRIKIANO BAINA YA TEC,WANAHARAKATI NA CHADEMA UNAZIDI KUBAINIKA BAADA YA WAO WENYEWE KUSHUTUMIANA

Basi ni vyema wachague upande tujue tunapigana na nani,kuliko kuja wakinyata nyata huku wakidhani kwamba hatutawatambua.
Sasa umeshasema wanashirikiana unataka tena wachague upande . Halafu wewe kama serikali yako inafanya mema itapendwa sasa serikali yenyewe imejaa mipiga deal na mifisadi na wauwaji unategemea kanisa lisikemee?
 
Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?

Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita

Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko

Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Wewe ndio maana tunasema waliokupanuwa Mtwara wamekutowa na ufahamu.

Dr Slaa alikuwa Ccm, akagombea Ubunge Ccm akashinda kura za maoni wale wahuni wenzenu Dodoma wakamkata jina halikurudi, kwakuwa wananchi walikuwa wanampenda wakiwemo wanaccm ndio waliomuomba agombee kupitia Chadema na akawa mbunge wa kudumu.

Wewe kwakuwa akili ziko makalioni hujui kwamba Dr Slaa hajawahi kuomba kugombea Urais ni kamati kuu ya Chadema ndio ilimuomba hapo ndipo jimbo la Karatu akawaletea mchungaji Israel Natse ambaye baada ya kuhudumu kwa miaka mitano akatangaza kustahafu na kwamba hana wito wa Kisiasa anarudi kanisani.

Hilo jimbo kama si uhuni wa Magufuli kuiba uchaguzi lilikuwa ni jimbo la chadema la kudumu.

Wewe huna akili kichwani wala kumbukumbu umejaa chuki tu.
 
Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?

Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita

Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko

Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Mkuu, nilitaka kujibu hoja yako ya awali, kwamba hilo kanisa halikufanya juhudi za kuepusha yaliyotokea October 29.
Nilitarajia utaitafuta hiyo clip kwanza ujiridhishe then tuendelee na mjadala mpaka tutakapokubaliana kutokubaliana. Tusiruke ruke mada kwanza.
Walisema/walishauri nini kabla ya uchaguzi na wameshauri nini baada ya uchaguzi
 
Wakati hayo yakiendelea BAKWATA na CCM ndoa yao inazidi kushamiri si ndio
 
Mkuu, nilitaka kujibu hoja yako ya awali, kwamba hilo kanisa halikufanya juhudi za kuepusha yaliyotokea October 29.
Nilitarajia utaitafuta hiyo clip kwanza ujiridhishe then tuendelee na mjadala mpaka tutakapokubaliana kutokubaliana. Tusiruke ruke mada kwanza.
Walisema/walishauri nini kabla ya uchaguzi na wameshauri nini baada ya uchaguzi

Weka hiyo Clip tuione
 
Friends and Our Enemies,

"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Kwa hiyo TEC ikialika viongozi wa setikali kwenye shughuli zake mbona hamsemi ushirikiano wa TEC na CCM
 
Kualika kuna shida gani

Tunachokueleza TEC inafanya vikao vya kimkakati na chadema katika kupanga harakati za maendeleo ya chama.

Sasa kazi yao wao ni kuongoza kondoo au kushiriki siasa?
 
Friends and Our Enemies,

"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Sawa Sheikh Saidi Mwaipopo
 
Ccm.ni mkolon divide to rule inafanya kaz
 
Maslahi ya TEC nchi hii hayapujguzwa Wala kutishiwa popote na hakuna WA kuthubutu Hilo. Kinachowauna TEC ni maslahi Yao kutoongezeka. Basi
 
Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?

Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita

Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko

Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Wajinga na Wapumbavu tu kama wewe wataamini Uharo wako huu!!
 
Friends and Our Enemies,

"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.

Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.

Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.

Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu

Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.

Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?

Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.

Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.

Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini

Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.

Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Mkuu IQ yako ikoje?
Unashindwa kuona kuwa the Common Denominator kuwa wote ni Watanganyika?
 
Back
Top Bottom