Sasa umeshasema wanashirikiana unataka tena wachague upande . Halafu wewe kama serikali yako inafanya mema itapendwa sasa serikali yenyewe imejaa mipiga deal na mifisadi na wauwaji unategemea kanisa lisikemee?Basi ni vyema wachague upande tujue tunapigana na nani,kuliko kuja wakinyata nyata huku wakidhani kwamba hatutawatambua.
Wewe ndio maana tunasema waliokupanuwa Mtwara wamekutowa na ufahamu.Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?
Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita
Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko
Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Mkuu, nilitaka kujibu hoja yako ya awali, kwamba hilo kanisa halikufanya juhudi za kuepusha yaliyotokea October 29.Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?
Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita
Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko
Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Mkuu, nilitaka kujibu hoja yako ya awali, kwamba hilo kanisa halikufanya juhudi za kuepusha yaliyotokea October 29.
Nilitarajia utaitafuta hiyo clip kwanza ujiridhishe then tuendelee na mjadala mpaka tutakapokubaliana kutokubaliana. Tusiruke ruke mada kwanza.
Walisema/walishauri nini kabla ya uchaguzi na wameshauri nini baada ya uchaguzi
Porojo za kila siku.TEC ni zaidi ya unavyoijua acha kukariri yeyote anayeenda kinyume na TEC ameenda kinyume na utawala.
Kwa hiyo TEC ikialika viongozi wa setikali kwenye shughuli zake mbona hamsemi ushirikiano wa TEC na CCMFriends and Our Enemies,
"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.
Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.
Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.
Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu
Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.
Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?
Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.
Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.
Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini
Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.
Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Kwa hiyo TEC ikialika viongozi wa setikali kwenye shughuli zake mbona hamsemi ushirikiano wa TEC na CCM
Sawa Sheikh Saidi MwaipopoFriends and Our Enemies,

Hakika umenipatia kabisaSawa Sheikh Saidi Mwaipopo
Hata ukionaagea kisukuma lakini wewe huna akiliSerikali ni major set,na hao wengine ni sub set
Ongeze na intersect.Serikali ni major set,na hao wengine ni sub set
Wajinga na Wapumbavu tu kama wewe wataamini Uharo wako huu!!Kwani TEC wameanza lini Kumtambua Samia kama Rais..?
Unajua michezo wanayoicheza ni ya kitoto sana,na zama za serikali kuilamba lamba matako TEC zilishapita
Siyo mara ya kwanza katibu Mkuu wa TEC kushiriki vikao vya usuluhishi chadema na tunajua wana maslahi gani huko
Wilbroad Slaa alitoka kuwa katibu Mkuu TEC akakimbilia chadema ili agombee urais wa nchi hii ili nchi iwe chini ya kanisa
Mkuu IQ yako ikoje?Friends and Our Enemies,
"How you do anything,is how you
do everything"...Dante.
Tumekuwa siku zote hapa Jukwaani tunasema kwamba yale yaliyotokea 29 October yana viashiria vyote kwamba wapo watu walikuwa nyuma ya seke seke lile kiasi cha kupelekea nchi yetu pendwa na kisiwa cha amani kuingizwa majaribuni.
Kama mnavyofahamu vugu vugu kipindi kile lilianzia na kufanyika kwa kiasi kikubwa mitandaoni huku wanaharakati malaya malaya ambao wengi wao ni Diaspora waliungana moja kwa moja na chama cha chadema kufahamasisha chuki na kuchochea wananchi GenZ kuisaliti nchi yao na kuichoma huku wakihakikisha haitawaliki na kuazimia kuzuia kufanyika kwa uchaguzi.
Wanaharakati walifikia hatua ya kuwagombanisha GenZ na taifa lao na kuwaambia watoke wakafanye fujo na kuchoma mali zote za umma na binafsi ili kuishinikiza serikali iachie madaraka kwani Jwtz liko nyuma yao na Jeshi la polisi haliwezi kuwafanya chochote.
Wakati wanaharakati wakiendelea na vugu vugu hilo chadema kupitia viongozi wao walikuwa upande mwingine kwa kutangaza hadharani kujitoa kwenye kushiriki uchaguzi mkuu na kutoa matamshi yenye ukakasi ya kwamba wamepanga kukinukisha na kuhakikisha wanazuia na kuvuruga uchaguzi usifanyike,na kwa hakika huo muungano ulifanikisha kuleta dhahma kubwa sana kwenye taifa letu
Wakati hayo yakiendelea kanisa katoliki halikuonekana sehemu yoyote kukemea harakati hizo wala kuguswa na hali hiyo badala yake kanisa lilikuja mbio mbio kutoa lawama kwa serikali mara baada ya nchi kuingia majaribuni na kuitaka eti serikali iwajibishwe kwa yaliyotokea.
Kila mwenye akili timamu alijiuliza wakati Bakwata na vyombo vingine vya dini vinatoa rai kwa wananchi kulinda amani why kanisa lilikaa kimya?na kwanini lije mbele mbele baada ya shida kutokea na kuanza kutoa waraka zao?
Baadhi ya makanisa ya kilokole yakiongozwa na Askofu Gwajima nao hawakuwa nyuma katika kuchochea na kuhamasisha uasi kupitia madhabahu yao kila mtu aliona hilo.
Mshirika wao wa karibuni wanaemuamini sana hawa TEC na Chadema ambae ni yule malaya mange kimambi amevujisha taarifa inayosema kanisa kupitia TEC linahaha katika kuleta suluhu baina ya hayo magenge matatu ambayo yanaonekana hivi karibuni kutofautiana na kurushiana maneno yanayoonesha yanaenda kuvuruga umoja wao huo wa UTATU MTAKATIFU katika kuhakikisha amani ya Taifa hili inapotea.
Siku zote tumekuwa tunasema kwamba mkono wa serikali ni mrefu,na hakuna serikali yoyote duniani ambayo inaweza kupokea amri kutoka kwa wanaharakati au viongozi wa dini
Kuzidi kubainika kwa hila hizo baina ya haya magenge matatu yanazidi kutupa picha kamili ya nini kilitokea kipindi kile na ni nani walikuwa wahusika wakuu.
Ni aibu sana, na bila shaka mbio zao za sakafuni kwa sasa zimefika ukingoni na bila shaka wote waliohusika watafikishwa kwenye vyombo vya dola bila uwoga wa aina yoyote na kwa kuanzia na yule Lisu ambae tayari ameshanasa kwenye ndoana.
Maslahi ya TEC nchi hii hayapujguzwa Wala kutishiwa popote na hakuna WA kuthubutu Hilo. Kinachowauna TEC ni maslahi Yao kutoongezeka. Basi