USHIRIKIANO HUU UNACHOCHEA MAENDELEO KWA HARAKA SANA VIJIJINI

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
hamasa na shauku walionayo wananchi hususani vijijijni, ya kuanza kutekeleza miradi ya maendeleo kulingana na vipaumbele vya mahitaji yao, inakwenda kutrasform maisha yao kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa haraka sana...

serikali pamoja na wadau wa maendeleo katika maeneo husika, wamehamasika pia, wametambua juhudi hizo, na wamaekua wepesi sana katika kuunga mkono jitihada za wanainchi, kwa kukamilisha hatua za miradi mbalimbali zilizobaki,
kwa mfano, kumalizia ujenzi wa shule , vituo vya afya na zahabati, mabweni ya wabafunzi n.k...
hii ni faraja ya kipekee sana...

maeneo mengi nchini,
hatua hii imefanikisha na kuwanufaisha sana wanainchi, kwa mambo mengi sana ya maebdeleo, hususani jimboni pangu. Lakini pia hivi majuzi tu humu JF, nimeona mipango, malengo na vipaumbele vya wanainchi wa Musoma vijijini, chini ya mbunge wao makini sana Prof. Sospoter Muhongo, wameanza kutekeleza mambo yao kwa stahili hii ya nguvu kazi ya wanainchi. Nina hakika, hatua hii itasadia sana eneo hilo, kipiga hatua za kimaendeleo kwa haraka na kwa uhakika, kama ilivyo jimboni pangu na maeneo mengine nchini....

kongole nyingi sana kwa serikali na wadau wa maebdeleo, kutambua na kua tayari kuunga mkono jitihada za wanaichi katika kujiletea maendeleo kwenye maeneo yao ...

kwa pamoja tunasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…