GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC?
Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na kuwa Mnafiki ili uonekane unajali na uko Neutral wakati furaha yako 24/7 ni kuona Yanga SC ikifeli.
Na ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote akilitii hili na kutoa Ushirikiano kwa Timu za Yanga SC, Singida Fountain Gate FC na Azam FC mtanitambua.
Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) sijakushangaa jinsi ulivyokuwa na Kiherehere chako na nawe Kuahidi Kuungana nao Kiushirikiano kwani Kiasili nakujua na Watu wa Mpira tunakujua Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na najua kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili.
Nataka Uadui huu na Chuki hii ya Simba na Yanga uendelee kwani Unaburudisha, unafanya Timu ziimarike na Unachangamsha mno Soka letu na hiyo ndiyo Ladha yenyewe ambayo huwezi Kuikuta katika Mataifa mengine Barani Afrika.
Kila Timu ipambane yenyewe Kudadadeki.