Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC?

Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na kuwa Mnafiki ili uonekane unajali na uko Neutral wakati furaha yako 24/7 ni kuona Yanga SC ikifeli.

Na ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote akilitii hili na kutoa Ushirikiano kwa Timu za Yanga SC, Singida Fountain Gate FC na Azam FC mtanitambua.

Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) sijakushangaa jinsi ulivyokuwa na Kiherehere chako na nawe Kuahidi Kuungana nao Kiushirikiano kwani Kiasili nakujua na Watu wa Mpira tunakujua Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na najua kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili.

Nataka Uadui huu na Chuki hii ya Simba na Yanga uendelee kwani Unaburudisha, unafanya Timu ziimarike na Unachangamsha mno Soka letu na hiyo ndiyo Ladha yenyewe ambayo huwezi Kuikuta katika Mataifa mengine Barani Afrika.

Kila Timu ipambane yenyewe Kudadadeki.
Kiazi mbatata on one and two
 
tαnzαníα ní nchí αmвαчσ ínα utαmαduní pєkєє kαtíkα ѕσkα nα αmвαчσ víσngσzí wα kíѕíαѕα αu wα mpírα wαnαtαkα kuívurugα kwα kíѕíngízíσ chα uzαlєndσ .

uzαlєndσ kwєnчє nchí чєtu unαjєngwα nα upσ kαtíkα tímu zα tαífα tuu nα ѕíσ cluв.uzαlєndσ wα cluв huвαkí kwα wαnαchαmα , wαѕhαвíkí nα wαpєnzí wα tímu huѕíkα tuu.

uwєpσ wα kíhíѕtσríα wα tímu zα ѕímвα nα чαngα αutσmαtícαllч umєífαnчα nchí íwє kαtíkα вlσckѕ mвílí zα αѕílí zα uѕhαвíkí чααní kílα mtαnzαníα kwα wαzí αu kwα kífíchσ kunα tímu mσjαwαpσ αmвαчσ ípσ mσчσní mwαkє αmвαчσ íkíѕhíndα αnαfurαhí nα íkíѕhíndwα αnαumíα nα kunα tímu αmвαчσ íkífungwα nα tímu чσчσtє íwє чα ndαní αu чα njє αnαfurαhí nα íkíѕhíndwα αnαchukuα

tαnzαníα, tulíαnzα kupαtα umααrufu duníαní kwα kuwα nα tαвíα tσfαutí nα uníquє kíѕσkα tσfαutí nα nchí nчíngínє duníαní kwα kuwα wєnчєjí wα tímu zínαzσkujα kuchєzα nα mtααní wασ, kuwαpσkєα, kuwαѕhαngílíα nα kununuα jєzí zασ.

jαmвσ kαmα hílí ní lα αjαвu kídσgσ kwα mtu αmвαчє ní cσnѕєrvαtívє αmвαчє αnαєndєlєα kuαmíní αвαchσkíαmíní αu αlíchσkαríríѕhwα вílα kulípα nαfαѕí uвσngσ wαkє wígσ wα mαвαdílíkσ utαnuѕhαngαα ѕαnα lαkíní kwα mtu αmвαчє uвσngσ wαkє huαmíní mαвαdílíkσ αtαkuσnα wα kαwαídα

ílífíkα wαkαtí tαnzαníα tulíѕhαfíkíα kíwαngσ αmвαchσ kílα tímu αfríkα αu duníαní wαlítαmαní kujα kuchєzα tαnzαníα kwα kuwα wαlíkuwα wαnαjíѕíkíα nчumвαní kwα kupαtα wαѕhαвíkí nα mαpσkєzí nα uwαnjα unαjαα kαmα vílє mєchí чα ѕímвα nα чαngα

híí ílílєtα chαnzσ kíngínє chα mαpαtσ kupítíα utαlíí wα ѕσkα ( ѕpσrt tσuríѕm) kwα tímu nчíngí zα nchí αmвαzσ αmα kwασ kunα mígσgσrσ αu nchí zασ hαzínα mwαmkσ wα mαѕhαвíkí kupєndα ѕσkα nα kuѕhαngílíα αu wαnα mαѕhαвíkí wєnчє fujσ wαnασruѕhα vítu uwαnjαní wαlítαmαní ѕαnα kuhαmíѕhíα mєchí zασ tαnzαníα nα wαkíjαα вσngσ wαnαkutα wαѕhαвíkíαmвασ wαnαgαwαnчíngα nα kuѕhαngílíα kαmα ѕímвα nα чαngα nαhívчσ kulєtα chαnzσ kípчα chα mαpαtσ
 
Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC?

Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na kuwa Mnafiki ili uonekane unajali na uko Neutral wakati furaha yako 24/7 ni kuona Yanga SC ikifeli.

Na ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote akilitii hili na kutoa Ushirikiano kwa Timu za Yanga SC, Singida Fountain Gate FC na Azam FC mtanitambua.

Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) sijakushangaa jinsi ulivyokuwa na Kiherehere chako na nawe Kuahidi Kuungana nao Kiushirikiano kwani Kiasili nakujua na Watu wa Mpira tunakujua Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na najua kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili.

Nataka Uadui huu na Chuki hii ya Simba na Yanga uendelee kwani Unaburudisha, unafanya Timu ziimarike na Unachangamsha mno Soka letu na hiyo ndiyo Ladha yenyewe ambayo huwezi Kuikuta katika Mataifa mengine Barani Afrika.

Kila Timu ipambane yenyewe Kudadadeki.
Tatizo simba ni wanga. Kitendo cha kuichawia yanga kwa mvua hadi ikafungwa na mwarabu fainali ya cafcc kwa mkapa hakisameheki. Na siku nikipata nafasi naifuta simba kwenye ramani. Siwezi kuruhusu kakikundi ka walozi kajiite timu.
 
Tatizo wachezaji wa yanga wapaka poda wamelegea sana.
 
Huwa nashangaa sana wanaolazimisha huu muungano na mi nawaona ni maadui wa mpira
Mi kwa kweli naomba Power Dynamo wamtandike Simba kule kwao 3 wakija hapa wakaze iwe draw
 
Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC?

Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na kuwa Mnafiki ili uonekane unajali na uko Neutral wakati furaha yako 24/7 ni kuona Yanga SC ikifeli.

Na ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote akilitii hili na kutoa Ushirikiano kwa Timu za Yanga SC, Singida Fountain Gate FC na Azam FC mtanitambua.

Ahmed Ally ( Msemaji wa Simba SC ) sijakushangaa jinsi ulivyokuwa na Kiherehere chako na nawe Kuahidi Kuungana nao Kiushirikiano kwani Kiasili nakujua na Watu wa Mpira tunakujua Wewe ni Shabiki wa Yanga SC na najua kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili.

Nataka Uadui huu na Chuki hii ya Simba na Yanga uendelee kwani Unaburudisha, unafanya Timu ziimarike na Unachangamsha mno Soka letu na hiyo ndiyo Ladha yenyewe ambayo huwezi Kuikuta katika Mataifa mengine Barani Afrika.

Kila Timu ipambane yenyewe Kudadadeki.
24/7 😂 Nini hiki GENTAMYCINE, ulilenga pie sivyo basi Wacha nikurudishe shule kidogo ilifaa uweke 22/7 🏃🏃
 
That's why I'm Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer here on JF.

Wewe Mwenyewe tu hujishangai kuwa pamoja na Kunichukia Kwako kutwa huku Ukinitukana, Ukinidhalilisha na Kunichafua ila bado 24/7 ukiingia ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima Ufungue Thteads na hata Kusoma Posts zangu?

Nina Shani ( Tunu ) nyingi nimebarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu na ndiyo maana unaona pamoja na Kushambuliwa 24/7 hapa JamiiForums ( Wewe ukiwemo ) bado GENTAMYCINE nimebakia kuwa ni miongoni mwa Members mwenye Mvuto wa Kiusomwaji na nafuatiliwa na Watu wengi na wa kila Kada na Tasnia.

Asante sana Mungu kwa Baraka tele.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Genta wewe fanya kama unavyoweza kama mtu hakupendi kuna option ya ku ignore kama hajaitumia basi bado ww kwake ni piuwaliy talentedi karismatiki fela gemu chenja.

Mkumbuke: humu kuna mods wanaoangalia maudhui ya nyuzi kama mods wanaruhusu iweje mtu mwingine achukizwe na asitumie utaratibu uliopo kutoona post za mtu. Tusiwe na hisia kali na hii mitandao wengine tunafurahi tukiona utani na maandiko yenye upinzani kama haya kama mtu hapendi atoke jf ila sio kulazimisha mtu kumchukia mfulani kisa yeye ana mitazamo yake tofauti
 
Nimeng'amua kuwa Unanishobokea mno.
Ni sawa pia coz Kuna watu wanaona dhahabu katika mchanga na wapo wanaoona mchanga katika dhahabu. Kama umeliona hilo pia sio mbaya kuliko ungetoka patupu bila kuona chochote
 
Umekosa wa 'Kukuweka' hadi Unanishobokea hivi?
 
Yote hayo shida ni 22/7 tupunguze makasirikoo Wana JF. Ona hata wewe mwenyewe Kuna muda ka nafsi Kako kanaona kabisa ni kweli ulichapia kidg lakn maneno yanakua mengi kufuta ka aibu Genta kuchapia ni kiawaida sana. Usiwake sana utapasuka kisa ka pie kwelii!!!!!!!!! Pie ni kitu ya kuleta makasirikoo😂😂
 
Back
Top Bottom