Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Comment yako nmeipenda na ina ukweliMuda unapokaribia kulinda vitumbua vyao huwa wanaigiza kuwa ni miongoni mwao.
hao Masela wamejiandikisha?
Hawa akina mama mbona kama washaopokea kitu kuleeeee...
Sasa kama huwa unapatembelea sana ndiyo ulitarajia uwe unamkuta Mwanjelwa? Na kwa sababu tu haujawahi kumkuta pale basi ndiyo uthibitisho kwamba anaiguza wakati huwa haendi?Mbeya huwa napatembelea sana, lakini nadhani ni mwaka huu, jamaa kaanza hayo maigizo. Sijawahi kumkuta pale stendi kuu wala Mwanjelwa pale sokoni 2018,2019.
UshirikianoHapo story ni ipi?
Kushiriki usafi? Kunywa chai ya rangi? Au Kunywa Chai rangi na masela?
Hayo ni maigizo tu.Sasa kama huwa unapatembelea sana ndiyo ulitarajia uwe unamkuta Mwanjelwa? Na kwa sababu tu haujawahi kumkuta pale basi ndiyo uthibitisho kwamba anaiguza wakati huwa haendi?
CCM ndio nyumba ya maigizoHayo ni maigizo tu.