Ushirikiano: Mbunge wa Mbeya Mjini ashiriki usafi Soko la Sido, anywa chai ya rangi na masela, awahutubia wananchi

Mbeya huwa napatembelea sana, lakini nadhani ni mwaka huu, jamaa kaanza hayo maigizo. Sijawahi kumkuta pale stendi kuu wala Mwanjelwa pale sokoni 2018,2019.
Sasa wewe huwa unaenda mbeya kila siku na huwa unafika maeneo yote ya jiji ?, mbona kujitia ukichaa kuponda watu wanaokubalika ?, wahi pale corridor za Lumumba ukuchukue chako
 
Acha awaage wananchi waliojitambua
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Mi niko tofauti kidogo,

Ni kwa nini ashiriki usafi kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu?

Au ndio masoko huchafuka sana muda huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema mkuu haya mambo tumezoea kumuona mbunge wa mikumi mh. Joseph Haule mc shupavu wa mitulinga.

Huyu jamaa ndo nimeona leo labda huwa anafanya kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi mama wa matamasha ya ngoma??

Siasa za bongo, COMEDY tosha, ndiyo maana hakuna mchekeshaji wa stand up anaye-make.....😀

2020 tutaona mengi, 2015, watu walideki barabara...push ups...

Everyday is Saturday....................😎
 
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Wananchi wote wa TZ wanapaswa kuwa kama hawa wa Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maigizo haya ktk wakati huu ni dalili ya kujua kwamba ametikiswa sana
Wale madiwani na ule betina asiyekubali kushindwa ni dalili ya matatizo mbeleni
 
Nimeshindwa kujua hapo ndie yupi
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
 
1582983665176.png

Huyu hafai anashirikiana na mabeberu.
 
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Huu ni mwaka wa kuonesha wema wenu. Hata uchafu mutazoa lakini, tabia ni ile ya siku zote.
 
Sasa kama huwa unapatembelea sana ndiyo ulitarajia uwe unamkuta Mwanjelwa? Na kwa sababu tu haujawahi kumkuta pale basi ndiyo uthibitisho kwamba anaiguza wakati huwa haendi?
Kama hiyo ingekuwa ni hulka yake bila shaka ningemkuta.
 
View attachment 1372470

=====

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.

Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.

Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Cheap politics for the simple mind. Hapa ndipo utaelewa uwezo wa watanzania wakawaida kupima mambo. Bado tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli ya kisiasa.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom