Sasa wewe huwa unaenda mbeya kila siku na huwa unafika maeneo yote ya jiji ?, mbona kujitia ukichaa kuponda watu wanaokubalika ?, wahi pale corridor za Lumumba ukuchukue chakoMbeya huwa napatembelea sana, lakini nadhani ni mwaka huu, jamaa kaanza hayo maigizo. Sijawahi kumkuta pale stendi kuu wala Mwanjelwa pale sokoni 2018,2019.
View attachment 1372470
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Kwa mfano hayo angekuwa kafanya labda mh. Hamsi Kingwangala(CCM) tungeponda na kusema kampeni lakini kwa kuwa sugu ni wa upande wa pili basi twasifia
Umenena vyema mkuu haya mambo tumezoea kumuona mbunge wa mikumi mh. Joseph Haule mc shupavu wa mitulinga.Mi niko tofauti kidogo,
Ni kwa nini ashiriki usafi kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu?
Au ndio masoko huchafuka sana muda huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie yule mwana mama aigeMuda unapokaribia kulinda vitumbua vyao huwa wanaigiza kuwa ni miongoni mwao.
Comment yako nmeipenda na ina ukweli
Wananchi wote wa TZ wanapaswa kuwa kama hawa wa MbeyaView attachment 1372470
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Maigizo haya ktk wakati huu ni dalili ya kujua kwamba ametikiswa sanaView attachment 1372470
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
View attachment 1372470
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
SureMuda unapokaribia kulinda vitumbua vyao huwa wanaigiza kuwa ni miongoni mwao.
Huu ni mwaka wa kuonesha wema wenu. Hata uchafu mutazoa lakini, tabia ni ile ya siku zote.View attachment 1372470
=====
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu, leo amejumuika na wananchi kufanya usafi katika soko la Sido.
Katika zoezi hilo, Mh. Sugu pia amejumuika na baadhi ya wananchi, wengi wao wakiwa vijana, katika kupata kifungua kinywa.
Siku kadhaa zilizopita Sugu alieleza wazi kuwa chama chake cha Chadema kitashinda jimboni kwake katika uchaguzi mkuu ujao, hata bila ya Tume Huru ya Uchaguzi.
Kama hiyo ingekuwa ni hulka yake bila shaka ningemkuta.Sasa kama huwa unapatembelea sana ndiyo ulitarajia uwe unamkuta Mwanjelwa? Na kwa sababu tu haujawahi kumkuta pale basi ndiyo uthibitisho kwamba anaiguza wakati huwa haendi?
Cheap politics for the simple mind. Hapa ndipo utaelewa uwezo wa watanzania wakawaida kupima mambo. Bado tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli ya kisiasa.View attachment 1372470