Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu
Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story
Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes
Nimemchukua tukaendaa kumchukua mganga wa Nampula ambae aliisaidia Yanga kushinda kwa waarabu 4_0.
Mmmh nkamwambia nafikiri wangedili na wa bagamoyo ama morogoro yule bb wa ziwa moja kama wa wanaleta wa nje nawàmbia mnapigwa bao 2 ama na zaidi.
Hahahaaaa jana ananrudishia 10000 kunywaà bia kakaa siwawezi nkamwambia wengine tuko spiritual zaidii kaangalie Jamii forums nimeandika na wafungaji kabisaaa nkacheka sanaaa
Simbaa najua ushirikina upo ila ushirikina unafanya kazi kama una wachezaji wazuri
2...Kocha wa Simba sio mwanzo kufungwa na Yanga angalien history
Jpili njema kafanyen ushirikina muwe wa pili sasaaa