JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Asante sana mkuuNi kweli kabisa ...ushirikina hauna nguvu mbele ya kitu chenye kasoro.. Hauharibu kilichokwisha haribika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuNi kweli kabisa ...ushirikina hauna nguvu mbele ya kitu chenye kasoro.. Hauharibu kilichokwisha haribika
Umeyaonaje hayo matumaini?Nigusie kdg tu,
...nilimaliza kujiendeleza ingaw kw taab sn isiyo kawaida, kazini nilipandishw cheo niliharibu sana ndan ya muda mfupi, nikahamishw kwend pengine pasipo na kitu full msoto, huku nyum nilichekw na kutetwa sana,
Huko kila kitengo nilichopendekezwa niliharibu,
Miradi nimefungua ya kila aina lkn hakuna hat mmoj uliodum miez hata miwil,
Mke ndan baad y mtt wa kwanza hadaki ujauzito miak 14 sasa,
Nikiingia bar kunyw namaliza pesa zote hadi nazima,
Stress za kufa mtu zinaanza saa 7 za uck hadi 12 asbh ndio usingiz mzito unakuvaa na unatakiw kuamka sasa uwah kazin,
Unajikaza unaamka nafika kazin kw kuchelew,
Mkuu hakuelewi.
Hlf kila ukifika kazin kichw kinaum htr.
Kila hela ukipata haionekan ...
Kanisan nilitoa zaka, sadaka,
Pata sacrament zote hadi ndoa lkn wapi,
Nilifany hadi maombi ya kufung kw mwaka mzima lkn wap,
...nashukuru angalau mwanga na matumain nayaon sasa,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mmh kwa maana hiyo aiwezekani kupata utajiri bila kupitia nguvu za gizaMafanikio ya huu ulimwengu ni ushirikina uliokubuhu. Ili uamini, nabii Issa alipopelekwa mlimani na shetani alionyeshwa ufalme na utajiri wa dunia kama mali ya shetani. Ukitaka utajiri ni lazima upitie kwake! Huo ndio ushirikina.
Nilichogundua watu weupe wanatumia uchawi wao kwa faida sana sana kupata mafanikio sio sisi wengi wetu utumia kuumizana.Changamoto za maisha zinatufanya tuwe na roho mbaya sana tunateketea na kumalizana wenyewe. Ukiniuliza suhusu ninini nitakwambia hata mimi sijui[emoji31][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827] ila tu watu wanarogana sana sasa hivi
Bwanawe Kwani KuwezaUkiinama nchale, ukiinuka nchale ukikimbia nchale
Hii ishu majibu yake yanapatikana hapaUkiangalia kwa makini kila familia ilyofanikiwa kimaisha, kuna mauzauza ya hapa na pale, na kama hayaonekani basi ni Siri. Ila kauli inayotumika ni "Mungu hakupi vyote" sasa najiuliza, Mungu anampa mtu mateso ili wengine waendelee?