Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ushirikina ndiyo dini yenye wafuasi wengi sana TanzaniaNimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
Nakuunga mkono mkuu,ndo maana mabango mengi ya waganga,it means kuna watejaUshirikina ndiyo dini yenye wafuasi wengi sana Tanzania
Kila jambo africa shidaSoka la Africa bhn
Huyo jamaa mara kadhaa wanamsema yupo vizuri sanakwani zito si alishamjibugi mweshimiwa kuwa wasiojulikana wakijaga kwake wanakuta bahari
kuna sehemu kigoma inaitwa kibondo hilo chimbo muulize baba mwenye nyumba mstaafu alikuwa akienda kigoma lazima akalale hicho kijiji maana pale ni makutano ya uchawi Mshana JrHuyo jamaa mara kadhaa wanamsema yupo vizuri sana
Katika hili naomba umuondoe Dismas Ten bali Haji Manara linamhusu zaidi.Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
Kila jambo ushirikina shidaKila jambo africa shida
[emoji16][emoji16]kwani zito si alishamjibugi mweshimiwa kuwa wasiojulikana wakijaga kwake wanakuta bahari
Nijuavyo mimi huwezi kulinda kwa style hiyo wala kumzuia mchawi kwa kuweka makomandoo muda ukifika hata hao makomandoo hawatajua kitu.Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.
Ukizaliwa Tz lazima uwe upande mmoja kama si Yanga basi utakuwa Simba mtu akikwambia hana timu kati ya hizi anakudanganya.Basi acha tuendelee kuziabudu tu na porojo za kina Hajji Manara na Dismas Ten.
Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi ya imani za dini kiasi kwamba kila upande unatumia nguvu nyingi ambazo wangewekeza kwenye mechi za kimataifa timu hizi zingekuwa zinafika hadi fainali.