Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

Hata kama ni mind game basi hii ni ya ovyo kabisa . Unafanyaje mind game mbele ya makamera yote yale tena zama hizi za teknolojia? Je sio kukaribisha adhabu toka CAF kwa tuhuma za ushirikina uwanjani?
 
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.

Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
 
Au Ka chanjwa hadi pumbu!
 
..👊👊👊...

Umefanya vyema kumchana huyo pimbi.
 
Hayo ya Simba na Orlando yameshapita, subiri jumamosi utalala na viatu wewe Uto..
 
C video ya kuedit iyo
 
Shabiki wa yanga anahangaika.Jikite kwenye kutoa ushauri timu yako ifike hatua hiyo angalau anayofika simba hata kama ni kwa uchawi.

Mna shida sn mashabiki wa yanga,onesha sura picha nzima tuone kama ni wa simba hao .

Jealous za kijinga kabisa
 
Hakuna ushirikina,ni mila zetu nzuri za kiafrika,acheni kujidharau
 
Shabiki wa yanga anahangaika.Jikite kwenye kutoa ushauri timu yako ifike hatua hiyo angalau anayofika simba hata kama ni kwa uchawi.

Mna shida sn mashabiki wa yanga,onesha sura picha nzima tuone kama ni wa simba hao .

Jealous za kijinga kabisa
Kwaio Unakataa Kama Ni Wachezaji Wa Simba Hao? Basi Ni Wachezaji Wa Mbeya City [emoji23]
 
Ukishajua kuwa huo ni uchawi ina maana na wewe ni mchawi. Waarabu na wapemba wanajuana kwa vilemba.
 
Mimi sio simba lakini hii picha sio halisi wakuu..
 
Timu la warozi
 
Hivi kuna team Tanzania inaroga kushinda yanga iliroga simba ikakosa magoli 27 ya wazi kwa yule mganga wao wa morogoro mpaka zahera alikuwa haamini kilichotokea hakuna ambaye hafanyi mambo ya kimila Africa ndio maana tunasema soka letu kivyetu vyetu.
 
tunaomba picha ya wachezaji, viongozi au benchi la ufundi wakifanya huu ushirikina kwenye uwanja
 
Unamaanisha Yanga sío wachawi!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…