JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu.
Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia
wawakilishi waliochaguliwa na wananchi.
Mfano kuimarisha miundombinu ya uvuvi kwenye jamii za wavuvi, au kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa ardhi za mashamba kwenye jamii za wakulima ni njia ya kufuata misingi ya utawala bora.
Upvote
1