Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.

nina mashaka na wewe ndugu kama kabaang yako ilo salama
 
Kuna mchiz kama anatetea io ktu eti MTU akiwa mchele namuacha cz n tabia aaaaaah we VP kataza,onya,elimisha,pinga vikali izo tabia
 
Mbona watu wanauawa kwenye vita dhidi ya ugaidi lakini hawajaongelea haki za binadamu wameona ushoga tu nisemetu ukweli marekani itakuja kuanguka vibaya sana nadhani nitakuasipo hai lakini mwisho wake umekaribia ghadhabu ya mungu itawashukia
 
tujifunze kujitegemea,la sivyo hiyo ya kila siku kwenda kuomba omba mwishowe mtaambiwa mlalwe kwanza kabla ya kupewa misaada

una uhakika gani kuwa watu hawalalwi mpaka sasa? jiulize ni nini kinachowafanya kila wanajibembeleza huko magharibi kwa akina cameroun hadi sasa? here in africa we have only two strong prezdaaz, mugabe and kaguta, mention more if we have?
 
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.

Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Taarifa zinazohusiana
Siasa, Uganda

Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.

Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.

Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.

Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.

Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.

Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.

Soma zaidi Benki ya Dunia kuinyima Uganda msaada - BBC Swahili - Habari
 
wazungu wapuuzi sana na waache kwan waganda hawawez kuishi bila misaada yao?
 
Waafrika hawa jamaa wasitufanye sisi wajinga inamaana kwenye kukopa kuna kipengele cha kama wewe sio shoga hukopeshwi? Hapa cha maana ni kukopeshana wenyewe tuwaache na ujinga wao. Yani naogopa ban ila nina maneno mabaya juu yao. Hatutaki sodoma na gomora hapa wapeleke uzinifu wao huko huko, kesho utasikia wananza kulala na wanyama na watataka dunia nzima ikubaliane nao. Hata kama nihaki lazima iwe na mipaka kwanini kuliwekwa wanaume na wanawake kama hiyo ni haki ya binadamu kweli?
 
Mnafunga mashoga lakini mnapokea hela (kodi) ya mashoga (wa magharibi)?
 
Huu ni wakati waafrika tusimame kwa miguu yetu wenyewe. Mambo ya bajeti ianayotegemea misaada ya hawa jamaa tuachane nayo kabisa. Hivi ni baba yupi mwenye mke na watoto kila siku anakwenda kuomba hela ya chakula cha familia yake kwa jirani?
 
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika
.Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.chanzo BBC
 
Benki ya Dunia kuinyima Uganda msaada Wafadhili wakatiza misaada UgandaBenki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .Taarifa zinazohusianaSiasa, UgandaSheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.
 
Msimamo gani unao zungumzia? Kila kitu mnategemea misaada, magovi yenu wenyewe serikali imeshindwa kuwakata mnategemea wazungu waje wayakate hayo magovi alafu mnajidai muungane, mnao ubavu huo?

Uwezo huo tunao, tatizo HATUNA VIONGOZI!
 
Hapa nnashangaa watu wanawasisi kibao!Mungu amesema alaniwe amtumainie binadamu.Mseveni anastahili kupewa hongera.na ilitakiwa all african country kusaini the same act.Usa nao wanakopa China wao sio Miungu wezi wakubwa wa rasilimali zetu
 
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.

Inamaana hata mwanao wa kiume akiwa shoga haitokuhusu? Niki assume wewe ni wa kiume, vipi njemba ikikutokea utatabasamu au utakasirika?
 
Benki ya dunia imejitangazia rasmi sera zake za ushoga na imeamua kusitisha miradi ya Uganda ya shilingi Bilioni 135.
Kazi ipo

Surce BBC



+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
The World Bank has postponed a $90m (£54m) loan to Uganda over its tough anti-gay law, which has drawn criticism from around the world.

World Bank officials said they wanted to guarantee the projects the loan was destined to support were not going to be adversely affected by the law.

The loan was intended to boost Uganda's health services.

Ugandan government spokesman Ofwono Opondo said the World Bank "should not blackmail its members".

The law, enacted on Monday, strengthens already strict legislation relating to homosexuals.

It allows life imprisonment as the penalty for acts of "aggravated homosexuality" and also criminalises the "promotion of homosexuality".

'Eliminate discrimination'

The law has been sharply criticised by the West, with donors such as Denmark and Norway saying they would redirect aid away from the government to aid agencies.

US Secretary of State John Kerry has called the law "atrocious". Both he and South African Nobel peace laureate Desmond Tutu compared it to anti-Semitic laws in Nazi Germany or apartheid South Africa.

A spokesman for the World Bank said: "We have postponed the project for further review to ensure that the development objectives would not be adversely affected by the enactment of this new law."

Anti-gay supporters celebrate after Uganda's President Yoweri Museveni signed a law imposing harsh penalties for homosexuality in Kampala February 24, 2014. Anti-gay supporters in Uganda rejoiced when the law was passed on Monday
The loan was supposed to be approved on Thursday to supplement a 2010 loan that focused on maternal health, newborn care and family planning.

The World Bank's action is the largest financial penalty incurred on the Ugandan authorities since the law went into force.

In an editorial for the Washington Post, World Bank President Jim Yong Kim warned that legislation restricting sexual rights "can hurt a country's competitiveness by discouraging multinational companies from investing or locating their activities in those nations".

He said the World Bank would discuss how such discrimination "would affect our projects and our gay and lesbian staff members".

In his view, he adds, fighting "to eliminate all institutionalised discrimination is an urgent task".

But Mr Opondo said not everything the West said was correct and there should be mutual respect for sovereign states.

"There was a time when the international community believed slave trade and slavery was cool, that colonialism was cool, that coups against African governments was cool," he told the BBC.

"I think the best way forward is constructive engagement but... I think Uganda and Africa in general should stand up to this blackmail."

President Yoweri Museveni signed the anti-gay bill earlier this week, despite international criticism.

Ugandan authorities have defended the decision, saying President Museveni wanted "to demonstrate Uganda's independence in the face of Western pressure and provocation".

Uganda is a very conservative society, where many people oppose homosexuality.
 
kwani mkuu hujui wanalazimisha watu kukubali hisia za wengine huku hilo halitakiwa kuforcewa..
 
Nonsense haina haja ya kusoma habari kichwa cha habari kinatosha mkopo nao ukupe shida wakati hela ni yako itailipa badae.
 
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.

As long as viongozi wetu wanavyoapa kuilinda katiba wanashika Biblia na Msahafu hakuna nafasi za mashoga wala ndoa za jinsia moja.. Unaona uamuzi wa mtu kuwa shoga haukuhusu lakini unawafundisha nini watoto wanaokua..? Kwamba ushoga ni kitu cha kawaida..? Waendelee kufanya upuuzi wao kwa kificho na wakipatikana wapewe adhabu kali.. Kama Mungu alishusha gharika Sodoma na Gomora (Na Mungu ni mvumilivu) sembuse sie binadamu.. Anaetaka ushoga aende huko ulaya na marekani but sio Afrika..

Ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke period..
 
Back
Top Bottom