una uhakika gani kuwa watu hawalalwi mpaka sasa? jiulize ni nini kinachowafanya kila wanajibembeleza huko magharibi kwa akina cameroun hadi sasa? here in africa we have only two strong prezdaaz, mugabe and kaguta, mention more if we have?
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.
Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.
Maana yake ni kwamba la ukubali nikufile au hupati ela yangu...
Maana yake ni kuacha watu wazima waishi wapendavyo na si kuwaingilia kwenye mipango ya maisha yao binafsi.
Ushoga ni nini?
Ni ushoga.
Aisee!