Ushoga: Kanisa Katoliki lakataa kuubariki

Ushoga: Kanisa Katoliki lakataa kuubariki

Wanaume tamaa zimezidi. Sulemani alioa wanawake 700 na masuria 300. Ndio maana biblia inafundisha kuhusu KURIDHIKA, na Kujizuia(Kujiweza) ni sehemu ya Tunda la Roho.

Bila sifa hizo mbili hata ukipewa ruhusa ya kuoa wanne utaona hawatoshi, utataka 5,kisha nao utaona hawatoshi kama ilivyokuwa kwa mfalme Sulemani.
Brother na midevu yako, unaamini kua Selemani alioa wake 700?

Mambo ya imani me mwenzenu yananichanganya sana.
 
Brother na midevu yako, unaamini kua Selemani alioa wake 700?

Mambo ya imani me mwenzenu yananichanganya sana.
King Mswati amefikisha 15 bado kila mwaka anaoa mmoja. Hatujajua kufikia miaka 80 atakuwa na wangapi.
 
Back
Top Bottom