Wanaume tamaa zimezidi. Sulemani alioa wanawake 700 na masuria 300. Ndio maana biblia inafundisha kuhusu KURIDHIKA, na Kujizuia(Kujiweza) ni sehemu ya Tunda la Roho.
Bila sifa hizo mbili hata ukipewa ruhusa ya kuoa wanne utaona hawatoshi, utataka 5,kisha nao utaona hawatoshi kama ilivyokuwa kwa mfalme Sulemani.