Ushoga unasababishwa na mambo haya makubwa mawili. Papa Francisco aeleweke vizuri hapa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;

1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).

Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.

Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.

Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.

NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
 
Ni kweli unachosema lkn bado inapaswa kukemewa vikali hasa hao wanaojiendekeza kimalezi/mazingira.

Jamii lazima imlinde mwanaume kwa Namna yoyote ile Dunia itakuwaje ikiwa tutakuwa na wanaume nusunusu
Hali ya kuzaliana utapungua Sana
Lazima nguvu kubwa itumike kulifanya hili jambo Ni baya Kabisa ili mwanaume asipoteze thamani yake Hapa duniani.
 
Zungukeni kadiri muwezavyo, ila ukweli ushoga, hasa hapa Tanzania, unaletwa na tamaa, kupenda mseleleko.

Yani hormone zisikufanye uwe na sauti ya kike, zisikufanye uwe na matiti, zisikufanye uwe na hips au matako makubwa, zisikupe chochote cha kike, ila zikutume ufumuliwe rinda? Mbona hao wanawake wenyewe,wenye hormones zao, wanajiheshimu huwa hawapendi kufumuliwa rinda (achana na wale wauza utumbo). Wewe mwanaume, hormones za kike zikupush ukafumuliwe,ni hormones gani hizo?

Vijana waache tamaa. Mtu mwanaume anaogopa kutoka makovu, hataki kashkash.

Mashoga wa kiafrika wengi ni maskini,alaf wanatafuta watu wakuweza kuwahudumia kama wanavyohudumiwa wanawake, walipiwe Kodi, bills, watolewe out. Ingekuwa ni hormones peke yake ndio zinawatuma kugongwa, basi wangekuwa mambo mengine yote wanachakalika kama wanaume, then donati zikiwasha, ndio watafute mtu wa kuwasuuza. Wanatamani mseleleko wanaopewa wanawake, that's y wanatumia nguvu nyingi na wao kujiweka kikike. Sidhani shoga kama Elton John huwa anachati kama cocastic. Amehustle for his earnings, ila njoo huku Tz sasa ushangazwe 😅
 
Zungukeni kadiri muwezavyo, ila ukweli ushoga, hasa hapa Tanzania, unaletwa na tamaa, kupenda mseleleko.

Yani hormone zisikufanye uwe na sauti ya kike, zisikufanye uwe na matiti, zisikufanye uwe na hips au matako makubwa, zisikupe chochote cha kike, ila zikutume ufumuliwe rinda? Mbona hao wanawake wenyewe,wenye hormones zao, wanajiheshimu huwa hawapendi kufumuliwa rinda (achana na wale wauza utumbo). Wewe mwanaume, hormones za kike zikupush ukafumuliwe,ni hormones gani hizo?

Vijana waache tamaa. Mtu mwanaume anaogopa kutoka makovu, hataki kashkash.

Mashoga wa kiafrika wengi ni maskini,alaf wanatafuta watu wakuweza kuwahudumia kama wanavyohudumiwa wanawake, walipiwe Kodi, bills, watolewe out. Ingekuwa ni hormones peke yake ndio zinawatuma kugongwa, basi wangekuwa mambo mengine yote wanachakalika kama wanaume, then donati zikiwasha, ndio watafute mtu wa kuwasuuza. Wanatamani mseleleko wanaopewa wanawake, that's y wanatumia nguvu nyingi na wao kujiweka kikike. Sidhani shoga kama Elton John huwa anachati kama cocastic. Amehustle for his earnings, ila njoo huku Tz sasa ushangazwe [emoji28]
Sasa huyo cocastic wako unae msema ndo analipiwa kodi? Analishwa na mwanaume? Au anapenda msererekoo? Au anataka maisha mazuri kwa njia rahisi?

Sio kila anajiweka kike anataka hao wanaume wa kuwahudumia, Labda nikuambie kuwa jua wapo mashoga wana wahonga mabasha wao hapa hapa Bongo.

Nimechekaaa had machoziii, semeni na vijana wenu wenye tamaa, eti wanaume wa kuhonga, Bongo hii wanaume wenyewee wamechokaa hadi pumbu zinachubuka bila mpangilio km andazi La week ilopita.

Mxxxxxxxiiiiiieeeew.
 
Acheni kuendekeza tamaa zenu, alaf mnasingizia hormones. Watu wenye hormones imbalance tukiwaona tunawajua, mfano yule mwanariadha wa South Africa, Semenya. Ukimwangalia physical appearance yake bila kuambiwa yule ni mwanamke huwezi kuamini, muscles,sura, motion, sauti n.k vyote ni vya kiume, kasoro chini tu ndo ana papuchi. Sasa nyie mashoga wa bongo, mna kila kitu cha kiume, kasoro hizo hormones zimechagua kucheza na donati 😅😅.

Mashoga wote wa mbele ambao wanajitangazaga hadharani, before hawajasema hadharani ilikuwa ngumu kujua, ila huku Tz, we hata hatujawahi kukuona, ila post yako ya kwanza humu JF ili-raise question mark. Ni hormones gani zinakufanya ujihisi mwanamke, then utamani kufumuliwa donati? Maana hao wanawake wenye hormones zao, hiyo donati hawapendi iguswe, sasa nyie ambao mnasema mna hormones za kike, ni zipi hizo zenye uhusiano na donati?

Kama kuna shoga anahonga Basha ili agongwe, ni 1 katika 100, ila hiyo ipo hata kwa wanawake, wapo ambao wanalea na kuhonga wanaume. Lakini ukweli ni kwamba, mashoga wa Tz ni wadangaji na mnapenda mseleleko, hamtaki kuumiza akili na mwili, mmeona donati ndio mkombozi, alaf mnasingizia hormones.
 
Ni kweli unachosema lkn bado inapaswa kukemewa vikali hasa hao wanaojiendekeza kimalezi/mazingira.

Jamii lazima imlinde mwanaume kwa Namna yoyote ile Dunia itakuwaje ikiwa tutakuwa na wanaume nusunusu
Hali ya kuzaliana utapungua Sana
Lazima nguvu kubwa itumike kulifanya hili jambo Ni baya Kabisa ili mwanaume asipoteze thamani yake Hapa duniani.
Kweli
 
Ukisoma kitabu cha new world order huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa dini bila kukubali homosexuality hyo papa moyoni mwake halipendi na analichukia hilo jambo ila ndio matakwa ya wakubwa wake lazima akubali.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;

1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).

Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.

Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.

Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.

NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
Ukiona mtu akiongea basi alichoongea kinatakiwa kufafanuliwa sana kwamba watu wameelewa tofauti basi mazungumzo yake yana walakini.
Huyo mzee shabiki sana wa hao wazee wa kucheza kiduku.
 
Sheria kali ipitishwe kwa mabwabwa kama ilivyo nchi za kiarabu.Ikithibitika kama ww kwel bwabwa ww na wanaokufanya wote wanyongwe hadharani.
 
Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;

1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).

Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.

Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.

Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.

NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
Hata mazoezi gym yanachangia mkuu.
 
No way, kamwe hatuta fikia hapo!
Ushoga ni dhambi na ni aibu sana sana na mashoga wengi hufa mapema!
 
Ni kweli unachosema lkn bado inapaswa kukemewa vikali hasa hao wanaojiendekeza kimalezi/mazingira.

Jamii lazima imlinde mwanaume kwa Namna yoyote ile Dunia itakuwaje ikiwa tutakuwa na wanaume nusunusu
Hali ya kuzaliana utapungua Sana
Lazima nguvu kubwa itumike kulifanya hili jambo Ni baya Kabisa ili mwanaume asipoteze thamani yake Hapa duniani.

Aamina!
 
Acheni kuendekeza tamaa zenu, alaf mnasingizia hormones. Watu wenye hormones imbalance tukiwaona tunawajua, mfano yule mwanariadha wa South Africa, Semenya. Ukimwangalia physical appearance yake bila kuambiwa yule ni mwanamke huwezi kuamini, muscles,sura, motion, sauti n.k vyote ni vya kiume, kasoro chini tu ndo ana papuchi. Sasa nyie mashoga wa bongo, mna kila kitu cha kiume, kasoro hizo hormones zimechagua kucheza na donati [emoji28][emoji28].

Mashoga wote wa mbele ambao wanajitangazaga hadharani, before hawajasema hadharani ilikuwa ngumu kujua, ila huku Tz, we hata hatujawahi kukuona, ila post yako ya kwanza humu JF ili-raise question mark. Ni hormones gani zinakufanya ujihisi mwanamke, then utamani kufumuliwa donati? Maana hao wanawake wenye hormones zao, hiyo donati hawapendi iguswe, sasa nyie ambao mnasema mna hormones za kike, ni zipi hizo zenye uhusiano na donati?

Kama kuna shoga anahonga Basha ili agongwe, ni 1 katika 100, ila hiyo ipo hata kwa wanawake, wapo ambao wanalea na kuhonga wanaume. Lakini ukweli ni kwamba, mashoga wa Tz ni wadangaji na mnapenda mseleleko, hamtaki kuumiza akili na mwili, mmeona donati ndio mkombozi, alaf mnasingizia hormones.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hili povu lotee La nn? Km kuna shoga alikua anakupiga vizingaa ni yeye, usilete makasriko yako kwangu.

Kwan shoga anae jionesha na asie jionesha wana tofauti ipi? Tatizo mnataka kupangia watu jinsi ya kuishi.

Sema na maisha yako babaa, utakondaa buree mashoga ndo kila siku wanakua wapyaaa. Ukimaliza kulia kwa keyboard, kunywa maji mengi na upumzikeee. Relaaaaaxxxx

Poleeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acheni kupenda mseleleko. Na mkishachagua aina hiyo ya maisha, basi tulieni, msijifanye mnatoa elimu kwa Jamii ambayo haiwataki
 
Cocastic ni me au ke mbona haeleweki na ww mtoa mada umejuaje na kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho, no research no right to say. Don't say anything if you don't evidence ova.
 
Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;

1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).

Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.

Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.

Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.

NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
Daaah, hiyo category ya kwanza sijakuelewa; kwamba huyu mtu amekamilika katika maumbile yake (male), na yanafanya kazi kama kawaida, halafu anakuwa shoga bila kusababishwa na external reasons?! Na je, vipi sexual arousal, zitamjia kwa perspective zote mbili; kwa maana ile ya kawaida na ya ushoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cocastic ni me au ke mbona haeleweki na ww mtoa mada umejuaje na kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho, no research no right to say. Don't say anything if you don't evidence ova.
Shoga huyo mtoto
 
Back
Top Bottom