Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;
1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).
Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.
Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.
Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.
NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!