Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1669101471912.png

1669101516770.png
Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kukataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia...
Soma mada na uielewe.

Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
 
View attachment 2423837
View attachment 2423838

Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao duni huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifnya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao.
Nawapongeza Qatar kwa kutataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu!!
Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto!!
Wazungu hapa ndo ninapowachukia tuu. Hii mijitu sijui ipoje kmmk
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia. Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya? Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Kwani umesahau obama na tony blair walipokuwa madarakani walilazimisha waafrika turuhusu huo ushenzi? na mugabe akamwambia obama kama wanataka tuoane sisis kwa sisi(wanaume}.....kwanza obama akubali kuolewa na mugabe????????
 
Back
Top Bottom