Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao duni huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifnya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kutataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.
Bado hujaonesha ushoga wa Marekani
 
Hakikisheni vijana wenu hawaangali vituo vya Ulaya na Marekani, pia hakikisheni vijana wenu hawaangalia Kombe la dunia na ligi za Ulaya.
Soma mada na uielewe.

Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
 
Aisee!
Screenshot_20221122-095533~2.jpg
 
LGBTQ community sio mashoga tu mleta mada tambua hilo kwanza...humo kuna wasagaji..transgender n.k

Elewa pia na movements zao..ni kutaka uhuru na amani waishi maisha waliyo yachagua bila chuki..husda..kunyanyapaliwa..kutengwa ama kuuawa.

Ndio lengo lao kuu..hakuna mtu wanayemlazimisha ajiunge nao...fanya yako na wao wa fanye yao kwa raha zao na maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa hiyo kama ni uhuru wao na wa kwako kwa nini wajitangaze.
Ushiga wako hatuna haja kuufahamu.
 
Wazee wa kupumliwa visogoni bhana, kuna watu humu hawaelewi hata hiyo rainbow issue, nyie mnaokaa mkiandika hizi mambo mnatutia mashaka huenda mko na agenda ya siri..

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ulifundishwa kupumuliwa na babaako ndiyo mlivyo.
Jitangaze tu upate kuolewa babaako apate mahari.
 
Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao duni huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifnya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kutataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.
ushoga ni dhambi, wafiraji na wafirwaji wote wasipobadilika wataenda motoni. however, mwarabu hana ujasiri wa kukemea ushoga, kwasababu sio kitu kigeni kwake. truth be told.

waache unafiki, it is only through Jesus Christ mtu anaweza kuushinda ushoga na dhambi zingine zote, la sivyo utakuwa mnafiki tu wa kuukemea huku nje ila mkiwa ndani mnaharibu marinda ya watu.
 
Ni kama vile mnaogopa mkitazama rangi za upinde wa mvua kwa muda mrefu mtaanza kutamaniana wenyewe kwa wenyewe. Wenzetu mkiona rainbow mnapatwa na nini?

Ya kujiuliza ni
1. Ingetokea kombe la dunia linafanyika Uzungini na wamequalify, wangejitoa kupinga kucheza na timu zinazoeneza ushoga?
2. EPL walivaa armband za upinde mwezi mzima. Kulikuwa na kampeni kuhimiza watu waache kutazama mpira?
3. Qatar, Emirates na makampuni yao walijiondoa kwenye jezi?
4. Qatar na Emirates hawajitangazi kwenye mashindano yanayoeneza pombe?
5. Kumekuwa na tuhuma za matumizi ya rushwa kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa kombe la dunia, matumizi ya wafanyakazi wageni waliofanya kazi kwenye mazingira yanayofananishwa na ya kitumwa kukamilisha viwanja na miundo mbinu ndani ya muda mfupi, uchafuzi wa mazingira mkubwa kwa kiwango ambacho hakijawahi tokea. Armband mkononi mwa wachezaji ni jambo baya kuliko haya?
 
Back
Top Bottom