Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Mshaaanza kamba sasa [emoji23][emoji23][emoji23] hamuez jenga chenu chenu hlf useme umegundua nini
 
Soma mada na uielewe.

Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
umelazimishwa lin ? kuna Tanzania Premeir league huko Ulaya unafuata nini ? haushiriki kombe la dunia unataka uwapangie wanaoshiriki ili iweje kwann usiangalie CAF unayoshiriki ?
 
Hili hata mimi linanishangaza.......rainbow naona ni kama takatifu mno kuweza kuihusisha na ushoga.
ukute hata ww ni.gay ila hapa unapinga kweny keyboard ,wabongo kwa unafiki hatujambo
 
Hawalazimishiwi, huwa wanavaa kwa hiyari yao wenyewe kabisa. Huwa wanasaini mikataba kukubaliana na taratibu zote za timu wanazochezea, kama walikuwa hawataki wasigesaini kujiunga na hizo timu au wanavunja mikataba na kuondoka.
We chizi kweli, wachezaji mpira mara ngapi wanavalishwa manembo ya machoko wenzio?
 
Wazungu wana akil chafu sana na kitendo wanachofanya qatar kupnga izo progres za ushoga ndio wana u promot kwa namna nyngne
 
Nyie si kuna tamthilia mnaangaliaga bongo,zina mashg humo na mnazikodolea macho

Ova
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Swala hapa sio fimbo swala hapa ni kulazimisha lionekane la kawaida na kuligeuza kama haki.
 
ushoga ni dhambi, wafiraji na wafirwaji wote wasipobadilika wataenda motoni. however, mwarabu hana ujasiri wa kukemea ushoga, kwasababu sio kitu kigeni kwake. truth be told.

waache unafiki, it is only through Jesus Christ mtu anaweza kuushinda ushoga na dhambi zingine zote, la sivyo utakuwa mnafiki tu wa kuukemea huku nje ila mkiwa ndani mnaharibu marinda ya watu.
Jesus?
 
Aisee ndugu wazungu washenzi mno!!
Tena washenzi kupindukia maana yake ustaarabu walishautupa jalalani na hawana mpango wa kuutafuta tena. Mbaya zaidi ni kwamba hawatosheki wao kuwa washenzi bali wanataka kuilazimisha dunia yote iukubali na kuufuata ushenzi huo!
 
Sometimes tujifunze kufanya mambo yetu..hapo ulipo mishipa imekutoka juu ya keyboard ila huna hata uwezo wa kumchapa kofi shoga.

Kama huwapendi sana na unawachukia..jitokeze hadharani utamke hivyo na uanze oparesheni kuwaua hao mashoga ndio tutajua uko serious.

#MaendeleoHayanaChama
Qatar wako Sirius.
 
Tena washenzi kupindukia maana yake ustaarabu walishautupa jalalani na hawana mpango wa kuutafuta tena. Mbaya zaidi ni kwamba hawatosheki wao kuwa washenzi bali wanataka kuilazimisha dunia yote iukubali na kuufuata ushenzi huo!
Walitengeneza nguo watu wajisitiri wakawaita wenda uchi waafrika hayawani,sasa wamevua nguo kwenye mapicha ya x na wanajitahidi kuligeuza dunia kikundu juu.Yaani waibadili asili.
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Tumia akili, imagine km baba mwanao anakuuliza topic ambayo unaona si nzuri, unauliza kajulia wapi anasema kafundishwa shule na anakomaa kuwa waliomfundisha wapo sawa, muda huohuo mtoto anaona media zinasupport hilo jambo, km baba muda wa kukaa na mwanao ni mchache maybe if you're a rich guy, unakosa influence kwa mwanao so jamii inambrainwash kwa kiasi kikubwa, in the long run effect ni kubwa.
 
Dah kwa namna k ilivo tamu sijui wanaume wengine wanaingiwa na shetani gani wanazisusia. Wazungu wapuuzi sana. Huku wapiganie ushoga, kule wapiganie haki ya kutoa mimba. Saizi wanapigania sana haki za miti na wanyama kuliko haki ya mtu kuishi. Leo matukio ya watoto wa shule kushambuliwa na wenye siraha marekani hayapewi airtime sana kama clubs za mashoga zinaposhambuliwa. Sijui nini kinaendelea na wazungu wana ajenda gani na shetani
 
Ibilisi kawakaa wazungu kisawasawa,kwa laana waliyonayo wanataka mataifa mengine wa kuangamia pamoja.
 
Ushoga asili yake ni Uarabuni na nchi za kiarabu.
Sema ushoga wao wanaufanya kwa siri.
Wazungu hawana unafiki, waarabu na waislamu wamejawa unafiki.
Wanawake wa Zanzibar wengi hawana marinda, tena wametolewa na waume zao.
Huo sio ushoga?
Mpemba mmoja wa Kariakoo alinitongoza nimkaze eti anipe pesa na simu maana anauza simu duka la mama yake
 
Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.

Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Not true.
Kwanini na sisi Waafrika tusiboreshe gunduzi zao?
Kwanini hiyo akili tunayotumia kugundua vitu tusiitumie kujilinda mpaka wanatuua?
Hujui kuwa samaki na ng'ombe tunawaua kirahisi kwasababu ya ufinyu wa akili zao?
 
Ushoga asili yake ni Uarabuni na nchi za kiarabu.
Sema ushoga wao wanaufanya kwa siri.
Wazungu hawana unafiki, waarabu na waislamu wamejawa unafiki.
Wanawake wa Zanzibar wengi hawana marinda, tena wametolewa na waume zao.
Huo sio ushoga?
Mpemba mmoja wa Kariakoo alinitongoza nimkaze eti anipe pesa na simu maana anauza simu duka la mama yake
Ngoja vitukuu wa mudi waje kutetea ndugu zao waarabu.

#MaendeleoHayanaChama
 
LGBTQ community sio mashoga tu mleta mada tambua hilo kwanza...humo kuna wasagaji..transgender n.k

Elewa pia na movements zao..ni kutaka uhuru na amani waishi maisha waliyo yachagua bila chuki..husda..kunyanyapaliwa..kutengwa ama kuuawa.

Ndio lengo lao kuu..hakuna mtu wanayemlazimisha ajiunge nao...fanya yako na wao wa fanye yao kwa raha zao na maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama

kwanini wao wanalazimisha wengine wajiunge nao?
 
Back
Top Bottom