Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

Ushoga wa Ulaya na Marekani unataka kuharibu mustakabali wa Kombe la Dunia

LGBTQ community sio mashoga tu mleta mada tambua hilo kwanza...humo kuna wasagaji..transgender n.k

Elewa pia na movements zao..ni kutaka uhuru na amani waishi maisha waliyo yachagua bila chuki..husda..kunyanyapaliwa..kutengwa ama kuuawa.

Ndio lengo lao kuu..hakuna mtu wanayemlazimisha ajiunge nao...fanya yako na wao wa fanye yao kwa raha zao na maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa kama wao wamekubali kuliwa inakuaje wanatumia nguvu kusambaza mambo yao kwenye ulimwengu mzima
 
Una quote yoyote ya dini yako inayokupa uhalali wa kujinadi kunyonya au kunyonywa sehemu zako za siri?? Mbona unanyonya na kunyonywa??
Du kweli wewe shoga uliyekubuhu.
Ulininyoya wewe?
Na umenyonya wangapi?
 
Sasa ni wazi. Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima. Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao duni huru haiwezi kuukubali. Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifnya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kutataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.
Mimi na solution tuwe na world cup 2 moja ya mashoga na nyingine ya kwetu wanaume. wanaotaka ushoga wanaweza kuwa na ya kwao hata wavae jezi za Rainbow wote sawa tu na sisi Africa+Asia na wengine S.America tukawa na W.cup yetu ili shida hii iishe. Ushoga mambo ya chumbani unaleta nini barabarani. Hata Malaya ana aibu pia anajificha na kufanya usiku ila hawa jamaa hata chembechembe za aibu zimekatika.
 
Hivi bado tu hujui ukipngana na westen values ni nn kitakukuta?..
Uwe hai tu viti vyako vigeuzwe vishoga ....utaelewa.
Labda wewe u never know..
Western values ni ushoga? Ukikataa na ukristo ukafuata uislamu, Hindu au dini za mababu zetu watakufanyaje?
More importantly, ukitazama dk 90 za mechi ya miguu, inakuchukua muda gani kuanza kusikia hisia za ushoga? Half time au hadi siku ya fainali?
 
Unaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.

Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?

Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Unajifanya kuzunguka zunguka ila ww ni choko tu.
 
Kwanini walichagua rainbow kama nembo yao
Ni mbinu ya Shetani (Lucifer), kumdhihaki MUNGU.

Rainbow iliwekwa angani na MUNGU kama ishara ya kuonyesha kuwa hakutakuwa tena na gharika duniani, baada ya ile gharika wakati wa Nuhu.

Shetani kaeneza Ushoga dunia nzima na anaitumia "rainbow" kama nembo ya "mashoga na wasagaji". Kinachofanyika ni kama "dhihaka" kwa MUNGU.
 
Nchini kwako kwenyewe mashg kibaooo
Na mabongofleva yenu

Ova
Hata kama mashoga wapo lakini matendo yao hayakubaliki katika jamii yetu wala serikali yetu haikubaliani na ndoa za jinsia moja! Kama mtu ameamua kuharibika hiyo ni juu yetu. Lakini kule ulaya na marekani mashoga wanalelewa na wanakubalika na srikali inakubalkiana na mambo yao.
 
Ta
Unajua kwamba wenye akili hufanya leo kwaajili ya baadae
Miaka ijayo maisha yatakuwaje mtu atakuwa anaona kupakuliwa ni kitu ya kawaida kwa sababu amezaliwa na jamii ameikuta hivyo ndiyo lengo la hawa watu
tatizo hawajatosheka kupakuana wao kwa wao wanataka kueneza uchafu wao dunia nzima, wakome!!
 
Kwani umesahau obama na tony blair walipokuwa madarakani walilazimisha waafrika turuhusu huo ushenzi? na mugabe akamwambia obama kama wanataka tuoane sisis kwa sisi(wanaume}.....kwanza obama akubali kuolewa na mugabe????????
Tulilazimishwaje?.Umaskini wetu na kutojitambua ndio kunakopelekea tunapewa masharti ya kijinga ya hivyo.tunaendekeza njaa kwenda kuomba ela za mashoga uko nje alafu hatutaki kupewa masharti.Ulishaona wapi hiyo.
 
Uhu
LGBTQ community sio mashoga tu mleta mada tambua hilo kwanza...humo kuna wasagaji..transgender n.k

Elewa pia na movements zao..ni kutaka uhuru na amani waishi maisha waliyo yachagua bila chuki..husda..kunyanyapaliwa..kutengwa ama kuuawa.

Ndio lengo lao kuu..hakuna mtu wanayemlazimisha ajiunge nao...fanya yako na wao wa fanye yao kwa raha zao na maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama
Uhuru si wanao nchini kwao, kwa nini wanalazimisha kampeni yao mpaka nchi ambako hawakubaliki! Wapakuane huko huko!!
 
Soma mada na uielewe.

Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
Tutarudi pale pale kua hao vijana wako ukiona wameshawishika kufanya huo uchafu jua hawajitambui.Lea vijana wako kwenye misingi yakujitamini na kujitambua.sio unakwepa kuwapa malezi bora alafu wakiwa wajinga na matamaa yakipuuzi unalia lia.Vinginevyo niambie nawewe unaweza kufirw kwasababu yakushawishiwa.
 
Tutarudi pale pale kua hao vijana wako ukiona wameshawishika kufanya huo uchafu jua hawajitambui.Lea vijana wako kwenye misingi yakujitamini na kujitambua.sio unakwepa kuwapa malezi bora alafu wakiwa wajinga na matamaa yakipuuzi unalia lia.Vinginevyo niambie nawewe unaweza kufirw kwasababu yakushawishiwa.
Kummmko
 
Sasa ni wazi.
Nchi za Ulaya na Marekani wana nia rasmi ya kueneza USHOGA dunia nzima.
Sina lugha nyepesi zaidi ya kusema huu ni USHENZI ambao dunia huru haiwezi kuukubali.
Hakuna dini inaruhusu suala la ushoga, si Uislamu au Ukriso.

Wameamua kuifanya Qatar kuwa mfano wa kulazimisha ushenzi wao. Nawapongeza Qatar kwa kukataa katakata kuruhusi hali hiyo isiyo ya kistaarabu.

Na hawa watu hawana haya, wanalinganisha hili la ushoga na haki za binadamu. Hata ninapoandikai hili naomba wanyeshewe mvua ya moto.

Subiri wenye mambo haya waje wakushambulie mzee baba
 
Back
Top Bottom