Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Hilo nalitambua vyema sana. Na hayo maneno ya "kuacha ngano na magugu yamee pamoja", ni maneno ya Bwana YESU KRISTO.Nadhani kama ni mkristo unatambua kabisa mwisho wa yote haya..so acha magugu na ngano viote pamoja vitapepetwa na kutupwa wakati wa mavuno.
Chamsingi ni kuendelea kuwakumbusha ubaya wa kile wanachokifanya.
#MaendeleoHayanaChama