Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #161
Acha kuangalia World Cup.Acha kuangalia ujinga wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuangalia World Cup.Acha kuangalia ujinga wao
KumekuchaTofauti ya wazungu na watu wengine ni kuwa, mzungu yuko wazi na mambo yake, wengine wanaficha hata yale wanayoyafanya kila siku.View attachment 2427622View attachment 2427623
Kwa hiyo ukifanya jambo baya kisa tu haujaficha ndo upo sahihi?Tofauti ya wazungu na watu wengine ni kuwa, mzungu yuko wazi na mambo yake, wengine wanaficha hata yale wanayoyafanya kila siku.View attachment 2427622View attachment 2427623
Siku zote masikini huwa na roho mbaya sana na kila kitu anatafuta wa kumpa lawama!!Wao waache wafanye yao wanayoyaona ni sawa na wewe fanya yako.Sisi kila siku tunafanyiana ukatili wa kutisha kutokana na imani potofu hadi unajiuliza hivi kweli huu unyama umefanywa na binadamu?!hadi shetani naye anashituka lakini mbona hatuoni kuwa ni tatizo?!!letu ,mtu akitumia bunduki kuua watu wengi huku utasikia ma cinema ya wazungu mala ma cartoon hayo ndiyo yanafundisha?!!haya kwenye kufukua makabuli na kuchukua viungo vya maiti?!!TUACHE UNAFIKIUnaposema wana nia yakueneza kwani tunashikiwa fimbo kalazimishwa kufanya huo ujinga?.Au akili zetu ni ndogo kiasi gani hadi tushindwe kujisimamia.
Au wewe unaweza kufanya au kuiga jambo la kipuuzi kwasababu umewaona wazungu au mtu mwingine mjinga akifanya?
Tufundishe jamii yetu kujielewa ili hayo yakijinga ya wazungu wabaki nayo wenyewe.Vinginevyo tuna shida kubwa kama jamii na hatuko tayari kuishughulikia ndo maana tunataka kuelekeza lawama kwa wazungu wakati sisi wenyewe hatujitambui.
Kwa ninachokiona kwa sasa kwetu ngozi nyeusi nitakuwa kiumbe wa mwisho kuamini hicho ulichokiandika,Kwani wewe fuata tamaduni zako wao waache na yao lakini kwa nini sisi wafrika tunawashwa na mambo yao?!!miaka 60 ya uhuru bado njaa inauwa watu Afrika ,Nenda kaangalie pembe ya afrika watu wanavyokufa na njaa huko n ni waafrika wenzetu kuna msaada gani tunawo wapa zaidi ya kumsubilia huyo mzungu?!!Bila mzungu maisha ya mwafrika lazima yawe HATARINI.Wazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.
Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.
Tutajie idadi ya mashoga au % yao kwenye hayo maeneo uliyoyataja.wazungu sio wanafiki , hapa Afrika Mashariki , ushoga umetapakaa maeneo yenye waislamu wengi yaanZanzibar , Mombasa , Dar , Tanga , Pwani na Pemba sabab ndio jamii zinapenda kufirana ila hiz jamii ndio zinajifanya kupinga kweny keyboard , WAZUNGU WANADAI KUWAHESHIMU TU KAMA WALIVYOWEKA NEMBO YA NO RACISM , je NO RACISM ina maana kila mtu awe mweusi au afanye matendo ya watu weusi yaan mabangi , uvivu , ujambaz na Uporaji mali ?
Waafrika tuache unafiki bnana!!tupambane na matatizo yetu ya wananchi kufa kutona na kukosa chakula miaka 60 tangu uhuru!!Hao mnaowaita watu wa hovyo wana kula maisha mazuri tu wala hawazi tena leo ntakula nini.Licha ya hayo mambo yake unayoyaona ya ovyo ila nyie kuuana kutokana na imani za kishrikina ni sawa?!!Wazungu watu wa hovyo sana
Eti waligundua na kuupanda wakiwa wa kwanza mlima kilimanjaro hahhaa uwa nacheka SanaWazungu hawana akili hata hizi gunduzi asilimia karibia 80 zimefanywa na ngozi nyeusi.
Wao ni kuboresha tu, pia tulikuwa tukigundua wanatuuua halafu wanakuja wao kusema wamegundua.