Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #121
Baada ya hoja yake, hiyo ataielewa vizuri.Hauhitaji kutukana mtu mkuu.. Shindaneni Kwa hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya hoja yake, hiyo ataielewa vizuri.Hauhitaji kutukana mtu mkuu.. Shindaneni Kwa hoja
Hao wazungu wamekua na hiyo nguvu kwasababu waliwekeza kwenye akili na kujitambua.Hizo nguvu za wazungu kwenye mambo ya kijinga ziko uku kwetu kwenye nchi maskini tusiojitambua.Ila kwavile hatutaki kuondokana na utumwa wa fikra kila siku tutaendelea kua watumwa.Akili !! Nguvu ya mzungu unaijua vizur?
Kwani ni lazima kucheza kwenye hayo matimu yao?.Umaskini wetu na kutojitambua ndo chanzo cha sisi kua watumwa.We chizi kweli, wachezaji mpira mara ngapi wanavalishwa manembo ya machoko wenzio?
Lionekane la kawaida kwa wanaofanya.sasa wewe hufanyi inakuuma nini.Hayo mambo yako toka karne na karne na kamwe huwezi kuyazuia kwasababu wahusika nao wanapambana kutafuta uhuru wao.Tunachotakiwa ni sisi turudi kwenye jamii yetu tuifundishe iwe smart.Tofauti na hapo tutaendelea kushikiwa akili hadi mwisho wa dunia.Swala hapa sio fimbo swala hapa ni kulazimisha lionekane la kawaida na kuligeuza kama haki.
Kwahiyo wewe mwenye akili ndo unadhani kwa akili zako unaweza kuuzuia ushoga?.Acha ndoto za mchana.Kujitegemea tu kwenyewe shida alafu unalalamikia ushoga uku kwenye mitandao.Hayo yote uliyosema yanatokana na jamii isiyojisimamia.Tunakimbia wajibu wetu kama wazazi alafu tunataka dunia itulelee watoto wetu kwenye maadili.Tumia akili, imagine km baba mwanao anakuuliza topic ambayo unaona si nzuri, unauliza kajulia wapi anasema kafundishwa shule na anakomaa kuwa waliomfundisha wapo sawa, muda huohuo mtoto anaona media zinasupport hilo jambo, km baba muda wa kukaa na mwanao ni mchache maybe if you're a rich guy, unakosa influence kwa mwanao so jamii inambrainwash kwa kiasi kikubwa, in the long run effect ni kubwa.
Nikiwa choko wewe unawashwa nini.hunijui sikujui jinga kweli wewe.Akili zako ndogo usifikiri wote tuko hivyo.fala wewe.Unajifanya kuzunguka zunguka ila ww ni choko tu.
Kama imekuuma chomoa.Kummmko
Kama ninyi wafia dini mnavyotumia nguvu kubwa kueneza propaganda za dini zenu.Sasa kama wao wamekubali kuliwa inakuaje wanatumia nguvu kusambaza mambo yao kwenye ulimwengu mzima
Shida ni hapo ukubali usikubali..hao mashoga hawaishi leo wala kesho..walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo.Ndugu yangu naoan hujui jambo moja kubwa labda hujaliewa swala nzima hili la kuhalalisha USHOGA Nchi hizi za western swala la ushogo limekuwa ni jambo la kawaida katika jamii zao ni kwasabubu elimu inatolewa katika jambo hili kuanzia ngazi ya Kindergarten watoto wadogo wanafundisha kuwa LGBTQ nikitu cha kawaida katika maisha wapo huru kufanya jambo wanalolitaka.
Sasa Swali langu je upo Tayari watoto wako au watoto wa ndugu zako kukuwa katika mazingiria hayo ya kuona kuwa Gay, Lesbian au Transgender nikitu cha kawaida tu katika Jamii.???
Nadhani kama ni mkristo unatambua kabisa mwisho wa yote haya..so acha magugu na ngano viote pamoja vitapepetwa na kutupwa wakati wa mavuno.Ni mbinu ya Shetani (Lucifer), kumdhihaki MUNGU.
Rainbow iliwekwa angani na MUNGU kama ishara ya kuonyesha kuwa hakutakuwa tena na gharika duniani, baada ya ile gharika wakati wa Nuhu.
Shetani kaeneza Ushoga dunia nzima na anaitumia "rainbow" kama nembo ya "mashoga na wasagaji". Kinachofanyika ni kama "dhihaka" kwa MUNGU.
Wewe umetosheka kugonga k hovyo??mmbona kila siku utatogoza.Ta
tatizo hawajatosheka kupakuana wao kwa wao wanataka kueneza uchafu wao dunia nzima, wakome!!
Bongo haikubaliki lakini wapo wamejaa tele na huna cha kuwafanya wewe wala serikali yako.Uhu
Uhuru si wanao nchini kwao, kwa nini wanalazimisha kampeni yao mpaka nchi ambako hawakubaliki! Wapakuane huko huko!!
Huwa nasem haya mambo yakitokea katika familia jua wazazi au walezi ndio chanzo cha yote.Tutarudi pale pale kua hao vijana wako ukiona wameshawishika kufanya huo uchafu jua hawajitambui.Lea vijana wako kwenye misingi yakujitamini na kujitambua.sio unakwepa kuwapa malezi bora alafu wakiwa wajinga na matamaa yakipuuzi unalia lia.Vinginevyo niambie nawewe unaweza kufirw kwasababu yakushawishiwa.
Wakijinadi wewe nadi dini au kitu kingine cha maana , watu wakiona chako ni bora wakufuate tuSoma mada na uielewe.
Vijana wetu wanapolazimishwa kuona hawa wazungu washenzi mashoga wakijinadi mchana kweupe, ulitaka watu wakae kimya?
Siyo lazima kuvaa ukikataa hulazimishwi wachezaji wengi wenye misimamo yao hawavai. Ukiona kavaa ujuwe ana supportWe chizi kweli, wachezaji mpira mara ngapi wanavalishwa manembo ya machoko wenzio?
Hata wakiwepo lakini wanajua kuwa hawakubaliki na ni fedheha yao kwenye jamii yetu!Bongo haikubaliki lakini wapo wamejaa tele na huna cha kuwafanya wewe wala serikali yako.
#MaendeleoHayanaChama
Tuna vichaa wengi walio vaa nguo kuliko walio uchi mabarabarani.Hata wakiwepo lakini wanajua kuwa hawakubaliki na ni fedheha yao kwenye jamii yetu!