Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
umejibu swadakta mkuu😌😌😂 kwa hiyo hela haina umri!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umejibu swadakta mkuu😌😌😂 kwa hiyo hela haina umri!!?
Baasi, tukikutana lazima nitakununulia pesa. 😂umejibu swadakta mkuu😌😌
Hahahaha 😂 mxiuuuu enda hukoBaasi, tukikutana lazima nitakununulia pesa. 😂
Hutaki pesa? 😂 I'll treat you as my queen!Hahahaha 😂 mxiuuuu enda huko
Chokoza nyuki ule asali😂😂🙌🏾ndo hii leoHutaki pesa? 😂 I'll treat you as my queen!
Acha kumkandia Irene, sijamuacha, nilimuweka pembeni ili nimle Mercy.Iko hivi:-
Irene na Mercy (siyo majina yao halisi) walikuwa wanafanya kazi kwenye supermarket. Ikatokea mteja mmoja (baba mtu mzima) aliyekuwa akipendelea kununua vitu kwenye supermarket hiyo akawa anatoa tip mara kwa mara kwa irene. Mwisho wa siku Irene na huyu baba wakawa wapenzi.
Baba huyu alikuwa na ukwasi wa kufa mtu, na Irene alivutiwa ukwasi tu, (wala hakumpenda huyu baba). Akamdokeza Mercy kuwa huyu baba hata akiwa naye kwenye 6 kwa 6 huwa anahisi kutapika, sema tu navumilia ili niendelee kula hela zake.
Irene alikuwa na mpenzi wake kijana mwenzake ambaye siku (Irene) akiwa na kiu ya penzi basi kijana huyu ndiye alitumika kama maji.
Yule baba aliamua kumpangia Irene apartment maeneo ya ushuani ili iwe rahisi kuonana na Irene, pia akamnunulia gari ya kutembelea. Irene kwa ushosti wake na Mercy akamuomba yule baba aishi na Mercy kwenye ile apartment. Yule baba akakubali.
Wikend nyingi Mercy alikuwa anabaki peke yake kwenye ile apartment, maana yule baba pamoja na Irene walikuwa wanaenda kuspend kwenye mahoteli makubwa jijini, safari za Dubai na mengineyo mengi. (Lkn siku Irene akitaka kuikata kiu ya penzi anamuita yule kijana wake. Na Mercy alikuwa anayafahamu mahusiano haya ya Irene na kijana)
Mercy akaanza kuona wivu. Siku moja wakiwa wametolewa out na yule baba wote wawili, Mercy akaomba namba ya simu kwa yule baba (Irene akiwa kaenda haja ndogo) na kumuambia "kuna kitu nataka nikuambie. Lkn tutaongea kwenye simu".
Siku ya siku Mercy akamfungukia yote yule baba na kisha yeye kujibebisha na kuuteka moyo wa yule baba.
Baba akasanuka, akamnyang'anya gari Irene na kumfukuza kwenye apartment. Irene karudi uswahilini, tunae na tunadunda naye. Kaanza kupauka kama mwanzo.
Funzo:.
Kwenye maisha, usitoe password ya maisha yako kwa mtu yeyote.
Haya, shauri yako ooh! Shauri yako weeh!Chokoza nyuki ule asali😂😂🙌🏾ndo hii leo
asante 😂Haya, shauri yako ooh! Shauri yako weeh!
😂😂 Bahati haiji mara mbili.asante 😂
Hivi Sasa Mercy ndiyo anajichana na yule mubaba kwenye ile apartmentBaba hakupita na Mercy?
Oh bibi Harusi( mke wa mtu)Huyo mbaba anapatikana wapi..?
Sijambo za masikuOh bibi Harusi( mke wa mtu)
U hali gani??
Ni njema sana….Sijambo za masiku
Ni njema sana….
Nimefurahi kukuona Hapa…
Msalimie sana yule mjizi( anakula alafu anakula Tena 😂🌝🌚)
🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zanguHuyo mbaba anapatikana wapi..?
Asemee😂🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu