Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
HahahaaaSamahani mkuu, we ndo nani apo kati ya mercy,irene,kijana na huyo babu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaSamahani mkuu, we ndo nani apo kati ya mercy,irene,kijana na huyo babu?
Kina Mercy wako wengi sana mtaani. Yaani wivu wivu umewekwa mbele kama ulimi.heeee ko mercy ni snitch kama masnitch wengine
Maswali yote ya mahali muulize Evelyn Salt anapajua, si ajabu yeye ndo akawa huyo Iren.Huyo mbaba anapatikana wapi..?
Hivi kweli koneksheni ni kitu cha kuninyima? 😒Maswali yote ya mahali muulize Evelyn Salt anapajua, si ajabu yeye ndo akawa huyo Iren.
Ndiyo maana wanyamwezi wanasema "kwenye jambo lako fumba kalomo"Kina Mercy wako wengi sana mtaani. Yaani wivu wivu umewekwa mbele kama ulimi.
Oh tayariiii ndoa imejibu…Hahahaha zimefika... Nilitee maembe😁
Hahaha!!aliuza ramani ya vitaIrene karudi uswahilini, tunae na tunadunda naye.
Naona unachekelea mnavopauka woteIko hivi:-
Irene na Mercy (siyo majina yao halisi) walikuwa wanafanya kazi kwenye supermarket. Ikatokea mteja mmoja (baba mtu mzima) aliyekuwa akipendelea kununua vitu kwenye supermarket hiyo akawa anatoa tip mara kwa mara kwa irene. Mwisho wa siku Irene na huyu baba wakawa wapenzi.
Baba huyu alikuwa na ukwasi wa kufa mtu, na Irene alivutiwa ukwasi tu, (wala hakumpenda huyu baba). Akamdokeza Mercy kuwa huyu baba hata akiwa naye kwenye 6 kwa 6 huwa anahisi kutapika, sema tu navumilia ili niendelee kula hela zake.
Irene alikuwa na mpenzi wake kijana mwenzake ambaye siku (Irene) akiwa na kiu ya penzi basi kijana huyu ndiye alitumika kama maji.
Yule baba aliamua kumpangia Irene apartment maeneo ya ushuani ili iwe rahisi kuonana na Irene, pia akamnunulia gari ya kutembelea. Irene kwa ushosti wake na Mercy akamuomba yule baba aishi na Mercy kwenye ile apartment. Yule baba akakubali.
Wikend nyingi Mercy alikuwa anabaki peke yake kwenye ile apartment, maana yule baba pamoja na Irene walikuwa wanaenda kuspend kwenye mahoteli makubwa jijini, safari za Dubai na mengineyo mengi. (Lkn siku Irene akitaka kuikata kiu ya penzi anamuita yule kijana wake. Na Mercy alikuwa anayafahamu mahusiano haya ya Irene na kijana)
Mercy akaanza kuona wivu. Siku moja wakiwa wametolewa out na yule baba wote wawili, Mercy akaomba namba ya simu kwa yule baba (Irene akiwa kaenda haja ndogo) na kumuambia "kuna kitu nataka nikuambie. Lkn tutaongea kwenye simu".
Siku ya siku Mercy akamfungukia yote yule baba na kisha yeye kujibebisha na kuuteka moyo wa yule baba.
Baba akasanuka, akamnyang'anya gari Irene na kumfukuza kwenye apartment. Irene karudi uswahilini, tunae na tunadunda naye. Kaanza kupauka kama mwanzo.
Funzo:.
Kwenye maisha, usitoe password ya maisha yako kwa mtu yeyote.
Upumbavu tu kayataka mwenyewe Irene. Kosa la kwanza kukaa na KE mwenzake, wanawake wana wivu wa kijinga. Hata dadako usimwamini. Niliwahi kumla dada mmoja akanipeleka anapoishi na dadake sasa dadake mchangamfu, kuna kipindi ikawa dem wangu anatumia simu ya dadake kuongea na mm. Huyo dadake akasevu namba akawa ananitafuta pindi mdogo wake hayupo. Nikamchombeza kidogo tuu akajaakwenye mfumo, alafu mzuri kuliko mdogo mtu. Kuna kisa kingine nilisafiri kwenda kwa manzi yangu Kwa safari ya wiki 2. Nikakaa wiki moja tunakulana tu kila siku, asubuhi anaenda job ananiacha nafanya kazi zangu nakaa mezani na pc yangu, jioni akija ni mwendo wa jigi jigi. Wiki ya pili akapata dharuraya kwenda kwao, sasa mimi nikaona wacha nimsubiri, maana home nilishaaga safari kikazi wiki 2. So, hiyo wiki ya 2 nikawa mwenyewe ghetoni hapo. Nikaanza kuzoeana na majirani hapo kwenye issues za kulipia bill ya maji au umeme. Kulikuwa na akina dada wawili na wote wana waume zao, mmoja mumewe hakai hapo. Alinichangamkia ghafla hadi akawa ananiletea msosi jioni huku kavaa kanga moko. Nilichojifunza kwa pande zote ME na KE, kama unataka mahusiano yako yadumu basi hakikisha huruhusu mainzi mengine kusogelea karibu na mtu wako maana ndo watakaokuharibia. Back to the story, mimi ningekuwa huyo mbaba ningemtafuna huyo Irene na Mery wote, tena wajuane kabisa, ujinga sitaki...Iko hivi:-
Irene na Mercy (siyo majina yao halisi) walikuwa wanafanya kazi kwenye supermarket. Ikatokea mteja mmoja (baba mtu mzima) aliyekuwa akipendelea kununua vitu kwenye supermarket hiyo akawa anatoa tip mara kwa mara kwa irene. Mwisho wa siku Irene na huyu baba wakawa wapenzi.
Baba huyu alikuwa na ukwasi wa kufa mtu, na Irene alivutiwa ukwasi tu, (wala hakumpenda huyu baba). Akamdokeza Mercy kuwa huyu baba hata akiwa naye kwenye 6 kwa 6 huwa anahisi kutapika, sema tu navumilia ili niendelee kula hela zake.
Irene alikuwa na mpenzi wake kijana mwenzake ambaye siku (Irene) akiwa na kiu ya penzi basi kijana huyu ndiye alitumika kama maji.
Yule baba aliamua kumpangia Irene apartment maeneo ya ushuani ili iwe rahisi kuonana na Irene, pia akamnunulia gari ya kutembelea. Irene kwa ushosti wake na Mercy akamuomba yule baba aishi na Mercy kwenye ile apartment. Yule baba akakubali.
Wikend nyingi Mercy alikuwa anabaki peke yake kwenye ile apartment, maana yule baba pamoja na Irene walikuwa wanaenda kuspend kwenye mahoteli makubwa jijini, safari za Dubai na mengineyo mengi. (Lkn siku Irene akitaka kuikata kiu ya penzi anamuita yule kijana wake. Na Mercy alikuwa anayafahamu mahusiano haya ya Irene na kijana)
Mercy akaanza kuona wivu. Siku moja wakiwa wametolewa out na yule baba wote wawili, Mercy akaomba namba ya simu kwa yule baba (Irene akiwa kaenda haja ndogo) na kumuambia "kuna kitu nataka nikuambie. Lkn tutaongea kwenye simu".
Siku ya siku Mercy akamfungukia yote yule baba na kisha yeye kujibebisha na kuuteka moyo wa yule baba.
Baba akasanuka, akamnyang'anya gari Irene na kumfukuza kwenye apartment. Irene karudi uswahilini, tunae na tunadunda naye. Kaanza kupauka kama mwanzo.
Funzo:.
Kwenye maisha, usitoe password ya maisha yako kwa mtu yeyote
Hela mfuko wa shati no hela jfNaona unachekelea mnavopauka wote
Hii stori umeitoa wapi?Iko hivi:-

😐mimi usinipe gari wala usinipangishie apartment,,nipe pesa ili siku hata akitokea snitch pesa najui mm niliko iweka na huwez nipokonya😃
Mistake aliyofanya ni kuishi pamoja na huyo shoga yake,hili swala ndilo linawaponza na kuwamaliza wanawake wengi hata walio kwenye ndoa wanashindwa kutofautisha maisha binafsi na ushoga.Hata watu wa mitandao na bank wanatueleza usimpe namba ya siri mtu yoyote
Sasa sijui IRENE alipumbazika vp
Alafu akampa password ya maisha,inabidi baadhi ya vitu ukae navyo personalMistake aliyofanya ni kuishi pamoja na huyo shoga yake,hili swala ndilo linawaponza na kuwamaliza wanawake wengi hata walio kwenye ndoa wanashindwa kutofautisha maisha binafsi na ushoga.
ASante ndugu!Oh tayariiii ndoa imejibu…
Hongera sanaaaa
Shkamoo....
mahabaaa mamboShkamoo....