Ushosti wamponza bidada. Apoteza kila kitu na kurudi uswahilini.

Naona hiki kisa kimepewa tena uhai baada ya kuletwa humu kikajadiliwa kikafa kikazikwa na kufufuliwa tena na wewe
 
Naona unachekelea mnavopauka wote
 
Reactions: G4N
Upumbavu tu kayataka mwenyewe Irene. Kosa la kwanza kukaa na KE mwenzake, wanawake wana wivu wa kijinga. Hata dadako usimwamini. Niliwahi kumla dada mmoja akanipeleka anapoishi na dadake sasa dadake mchangamfu, kuna kipindi ikawa dem wangu anatumia simu ya dadake kuongea na mm. Huyo dadake akasevu namba akawa ananitafuta pindi mdogo wake hayupo. Nikamchombeza kidogo tuu akajaakwenye mfumo, alafu mzuri kuliko mdogo mtu. Kuna kisa kingine nilisafiri kwenda kwa manzi yangu Kwa safari ya wiki 2. Nikakaa wiki moja tunakulana tu kila siku, asubuhi anaenda job ananiacha nafanya kazi zangu nakaa mezani na pc yangu, jioni akija ni mwendo wa jigi jigi. Wiki ya pili akapata dharuraya kwenda kwao, sasa mimi nikaona wacha nimsubiri, maana home nilishaaga safari kikazi wiki 2. So, hiyo wiki ya 2 nikawa mwenyewe ghetoni hapo. Nikaanza kuzoeana na majirani hapo kwenye issues za kulipia bill ya maji au umeme. Kulikuwa na akina dada wawili na wote wana waume zao, mmoja mumewe hakai hapo. Alinichangamkia ghafla hadi akawa ananiletea msosi jioni huku kavaa kanga moko. Nilichojifunza kwa pande zote ME na KE, kama unataka mahusiano yako yadumu basi hakikisha huruhusu mainzi mengine kusogelea karibu na mtu wako maana ndo watakaokuharibia. Back to the story, mimi ningekuwa huyo mbaba ningemtafuna huyo Irene na Mery wote, tena wajuane kabisa, ujinga sitaki...
 
G4N sio wa jf hata kidogo humu hakuna tajiri ambaye anaweza kumpangia mtu chumba kodi 150000tsh hakuna licha sasa amnunulie gari uwiii
 
Hii stori umeitoa wapi?
Maana kuna dada mmoja huko FB alikuwa anasimulia stori kama hii hii ila majina ya wahusika ni tofauti.

Pia huyo dada aliyekuwa anasimulia alikuwa kila mara akiongea anamungunya mungunya mdomo kama anakula UBUYU.
 

Attachments

  • 1725153393442.jpg
    254.7 KB · Views: 2
Hata watu wa mitandao na bank wanatueleza usimpe namba ya siri mtu yoyote
Sasa sijui IRENE alipumbazika vp
Mistake aliyofanya ni kuishi pamoja na huyo shoga yake,hili swala ndilo linawaponza na kuwamaliza wanawake wengi hata walio kwenye ndoa wanashindwa kutofautisha maisha binafsi na ushoga.
 
Mistake aliyofanya ni kuishi pamoja na huyo shoga yake,hili swala ndilo linawaponza na kuwamaliza wanawake wengi hata walio kwenye ndoa wanashindwa kutofautisha maisha binafsi na ushoga.
Alafu akampa password ya maisha,inabidi baadhi ya vitu ukae navyo personal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…