Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

Nakumbuka Iringa nilienda +255 VIP club pale Niko First year nikapiga konyagi viroba miaka ya 2012,Nikiwa na jamaa angu Charles popote ulipo ukaniacha nikabiwa simu yangu na nlikuambia uniangalie mi najizima data.Na ,40,000 ikaenda.Uzuri kesho yake Boom likatoka nikaenda mjini nikanunua kitochi kipya.Badae nikanunua Nokia X2 150,000 miaka ile.Nilikaa kwenye kochi Klab nimewekwa kati na mademu ndio kajoto kale usingizi ukanipitia.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu uliibiwaje iringa?

Wanachuo wanaoibiwa sana iringa ni wa mkwawa
 
Hilo la kuibiwa umenikumbusha niliwahi kukatana na manzi mmoja samaki samaki mcity! Akaja straight nilipokaa akaniambia nahitaji company, basi bana katika story akaniambia ana stress sana mpenz wake sijui kamfanya Nini, tulikunywa mpaka mida michafu badae tukajikuta tupo lodge, ile wenge la kuibiwa nikatoa wallet nikaitupa chini ya kitanda kisirisiri kumbe kaniona, akaniambia acha hizo Wala mi Sina njaa, aisee nilijishtukia sana siku io

Kesho yake asubuhi Dem kaenda atm Kavuta mkwanja wa maana tukala Bata kama siku 2, kuja kujua kumbe ni WA kishua balaa niliwahi kwenda kwao kawe nikahisi nimeingia hotelini
Nshamjua!! Siku hizi yuko Dubai
 
Mademu WA Moro ni majambazi una bahati ,uyo demu sio WA kaumba ,maana mademu wakaumba wanasogeaga hapo starpark mida Fulani ya usiku ,hao hawachagui ,simu Hadi pesa wanabeba,bro pesa yako isijekuponza[emoji3][emoji3]kilichonikuta pale kaumba sitosahau
ana bahati sn mkuu wale wanaondokaga na nguo kbs wanaenda kusachia maghetoni kwao unaamka na towel la lodge[emoji3][emoji2][emoji28]
 
ana bahati sn mkuu wale wanaondokaga na nguo kbs wanaenda kusachia maghetoni kwao unaamka na towel la lodge[emoji3][emoji2][emoji28]
Ko unataka utuambie madem wa dar ni wastaarabu😃😃
 
Dah umri wangu wote huu sijawahi kununua malaya kmmk. Sijui mniite mlokole au msabato
 
Back
Top Bottom