Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Haaaaaaaaah nimecheka kama Fala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea Kwa hisia Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungesema hivi kwenye mkataba wa Bandari walai wasingeuzaRoho yangu huwa inaniuma sana vile wanaume mnavyotuchukulia wanawake[emoji24].
Hata kama baadhi yetu wanajiuza lakini tuna thamani zaidi ya hivi mnavyotuona sisi ni kama bidhaa[emoji24][emoji24].
Eti "home delivery"[emoji24][emoji24].
Hivi kweli ndo mnavyotudharau hivi kweli baba/kaka zetu? [emoji24][emoji24].
Mnatudharau sana nyie waota ndevu.Yaani sisi dada/mama zenu ndo wakutuongelea kama bidhaa?Kama kipaseli?
Kama kuna siku mwanaume atamuheshimu mwanamke naomba Mungu asinichukue kabla sijaishuhudia siku hiyo nzuri
Ngojea tuhamie Jupiter tuwaachie lidunia lenu tuone kama mtatoboa bila sisi wanawake mnaotudharau na kutuona kama bidhaa[emoji24][emoji24][emoji24]
Eti "home delivery"[emoji24][emoji24].
Hivi kweli ndo mnavyotudharau hivi kweli baba/kaka zetu? [emoji24][emoji24].
Mnatudharau sana nyie waota ndevu.Yaani sisi dada/mama zenu ndo wakutuongelea kama bidhaa?Kama kipaseli?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app