Ushuhuda: Baada ya miaka sita ya ndoa, hatimaye nimeitwa mama

Ushuhuda: Baada ya miaka sita ya ndoa, hatimaye nimeitwa mama

Kila mtu na imani yake. mimi mke wangu alishika mimba baada ya miaka mitatu. Kusema kweli siamini katika maombi. Niliamini kuwa kuna scientific/biological reason! Mke alikuwa anaumwa tumbo sana tena sana anapoingia kwenye siku zake. Doctors wakasema mpaka tutibu hii hali ipone ndio atapata mimba. Tukaakza medications, Na kweli kuna mwezi aliingia kwenye siku zake tumbo halikumuuma and the next month aka- conceive!

HONGERA TENA NA TENA , I CAN IMAGINE THE SITUATION YOU WERE IN- NILIIONA KWA MKE WANGU! IT WAS TERRIBLE KUTOPATA MIMBA.
Ni kipindi kigumu Sana tena ikiwa ni kwa muda mrefu. Mkuu kweli kila mtu na imani yake. Mimi hayo maumivu yalikuwepo yakaisha na still sikubeba mimba. Nimekaa miaka sita tangu nianze kuhangaika. Nimehangaika nimechoka nimepata mimba katika wakati ambao sikutarajia kabisa.
 
Pole na hongera tena!
 
Back
Top Bottom