Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hii ID yako... Itakuwa inakukumbusha jambo LA muhimu sana maisha ni mwako.... 15th June 2013Hongera
Mtoto hayupo tena..Hongera Mungu amkuze mwanao katika kimo na akili pia kumbuka kutoa sadaka kwa Bwana maana anatakiwa kutoa malimbuko kwa uzao/matunda ya kwanza toa zawadi/sadaka kwa aliyekupatia (Mungu)
Mkuu unamanisha nini???Mtoto hayupo tena..
Pumzika mtoto!
Huyu dada kafiwa na huyu mtoto jana.Mkuu unamanisha nini???
Duuh! Tena [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32] [emoji24]Huyu dada kafiwa na huyu mtoto jana.
Masishi yako Moshi nadhani. Uzi upo uliletwa
Mungu akutie nguvu
RIP Mwanao
Duuh! Tena [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32] [emoji24]
Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwakweli.
Amina!Ndo hivo mkuu. Binadamu sisi ni wake Muumba na muda wowote anatuita turudi kwake. Na kamuita huyu malaika mdogo aliyekuja duniani baada ya kutafutwa kwa nguvu nyingi. Pale unapopumzika ukidhani umemaliza na Mungu ndo anaonesha kusudio lake.
Wacha yeye atukuzwe,mtoto apumzike pema na mama ajaliwe nguvu kupita kipindi hiki kigumu
Mtoto amefarik Jan pole linamo mungu yu pamoja naweMungu amkuze vyema mwanao.
Hongera!
Inna lillahiiMtoto amefarik Jan pole linamo mungu yu pamoja nawe
unahisi kusudio lilikua ni nini mpaka ukachelewa kupata?...Mkuu ni maombi. Tumekuwa tukihangaika kote huko na mume wangu mpaka kuna wakati nilihisi labda tatizo liko kwa mwanaume,akafanya vipimo bado akaonekana hana tatizo. Nilichojifunza Mungu ana kusudio lake alilolipanga atalifanya kwa wakati wake. Sifa na utukufu arudishiwe Mungu.