Ushuhuda: Biashara ya mchele ni ngumu mno!

Yaah upo sahihi mkuu, kabla ya kuingia lazima ufanye kujihakikishia unachoenda kukifanya ktk hyo biashara

Nilipenda sana kwa ww mwenyewe kufika eneo husika na kujua kinachoendelea ktk biashara hiyo

Hope msimu mwingine wa kuvuna utaziwahi bei zake kabla hazijakomaa
 
Bishara ya mchele kwasasa imekuwa ngumu sana kwasababu kwenye store watu wana stock ya kutosha na wanunuzi hakuna

Mara nyingi masoko ya mchele na mpunga yanategemea wanunuzi kutoka nje ila Flow ya watu kutoka nje ikikosekana ndio bei zake zinasimama
 
Wenzako wa maduka wanapata faida sh 5 hadi 20 na maisha yanaena poa tu, usikate tamaa pambana pesa ipo.
Usifanye Dar kafanyie mikoani
 
Watu kama ww wangekua kama buku tu hapa dsm, kwa hakika huu mkoa ungekua sehem salama kuishi
 
Nmekuwa nikifanya biashara ndogo ndogo ni mda sasa nikaja kuiamini ile kanuni ya kisayans kwamb ni wenye nguvu pekee ndio wataweza kumudu
 
Sasa hizo gharama ndio nimechukulia mbeya mkuu?...mfano niuchukulie kwimba kwa hiyo 1300 huku dar nitauza shingapi? Ondoa gharama zote za usafiri n.k
ulichukulia mbeya sehem gani ndugu.
 
huku tulipo tuna mchele tuna stock tokea ya mwaka 2019,2020 na 2021 (japo hii imesua sua)

hii 2019 ilikuwa komesha
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.
 
Kamsamba mchele wake mwing unaenda Zambia soko lake kuu ni Tunduma alaf ata bei yake ipo vizur sana na n mtamu haswaaa ila mchele mwng unaokuja Dar ni wa Mbarali bei inakuaga chini sana kipind cha mavuno na mpunga ni mwing sanaa.
 
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.

bei ya mchele huku kilo 1200 mpka 1180 kama unabisha karibu tulipo
 
Masoko mengi ya bongo hakuna cartels, wanajifanyia biashara hovyo tu
 
bei ya mchele huku kilo 1200 mpka 1180 kama unabisha karibu tulipo
Nimekwambia 2019 na nmeanza kulima kapunga tangu 2018 sasa mm nalima Kapunga na nmeuza na ata mwaka huu nmelima kapunga unataka kubishana na mimi.
Bei ya mpunga mwaka jana na mwaka huu ndio zimeyumba sana.
 
Kabisa mkuu, wanasema seeing is believing...nimejionea nimeamini...mpango ni kudondoka pande zile msimu ujao mapema panapo majaaliwa na kama mipango itaenda kama ilivyosetiwa.
 
Kabisa mkuu, wanasema seeing is believing...nimejionea nimeamini...mpango ni kudondoka pande zile msimu ujao mapema panapo majaaliwa na kama mipango itaenda kama ilivyosetiwa.
Inshaallah!
 
Acha uongo mwaka 2019 mchele uliuzwa bei kubwa mwaka huo mwez wa 12 gunia ndogo (magufuli) Usangu(mbeya) tuliuza mpaka Laki 1 wewe uliweka za nn. Mwaka jana na huu ndio bei imetetereka.

Labda kuna mahali ulipanda ila since 2019 watu wanahangaika na mchele kwenye maghala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…