Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kurahisisha sema tu,tangu Covid iingie.Labda kuna mahali ulipanda ila since 2019 watu wanahangaika na mchele kwenye maghala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kurahisisha sema tu,tangu Covid iingie.Labda kuna mahali ulipanda ila since 2019 watu wanahangaika na mchele kwenye maghala
GoodBiashara rahisi kwenye makaratasi tu lakini ukifika field ndo unaona sasa moto wenyewe. Niliwahi kujitosa kwenye biashara ya mbao milioni 5 kweupe zikayeya ila baadaye nikapata watu wazuri wakongwe wa hiyo biashara wakanielekeza mambo ya muhimu sana ndo kidogo nikapata kaunafuu na baadaye nikafanya vizuri. Hakikisha hapo unaondoka na mafunzo yatakayokusaidia huko unakoenda.
Hata kwenye kilimo usifikiri mambo ni rahisi kihivyo. Ongea na watu walioko huko utapata wenye roho njema watakupa ABC za hilo zao unalotaka kulima. Kwa umri huo ukiendelea hivi kutoboa is only a matter of time...future $ millionaire [emoji122][emoji122][emoji122]
Biashara ngumu sana aisee, mimi nilijaribu mara moja mwaka 2014 na nilinunua mchele wa mils 14 ubaruku mbeya.Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya kukodi meza kununua mizani so nikashindwa nikaona nijiingize kwenye issue zingine.
Nilifanikiwa kupita tandale Sokoni kuna soko kubwa linajengwa. kwa nje kuna wafanyabiashara weengi sana nikaanza kufanya research kuhusu biashara ya Mchele kwamba nautoa Mbeya then nawapa madalali wananiuzia, kwa vile niliona sihitaji kutafuta eneo la kazi wala mizani ngoja nianze kufanya hizo issue za kuuza Mchele.
Awali ya yote nilienda pale mwananyamala Sokoni nikakutana na wafanyabiashara wakubwa wa Mchele pale wakaanza kuniambia mwenyewe pale kila kilo waliochukulia mbeya wanapata faida tsh 30_50 yaani anauchukua mbeya kwa 1100 kila kilo kufika Sokoni anauza 1250/1300 akiondoa gharama zake zoote anapata faida hiyo (sema hao wana mitaji mikubwa saana).
Turudi tandale sokoni.
Mimi kwa sababu sikua na mtaji Mkubwa nilikua na around laki 7 nikajitosa kwenda kununua Mchele mzuri sio super saana ila ni mzuri.
Nilichukua mbeya kwa 1300 nikachukua kama kilo 500 total inakua ni 650,000 ukiondoa na gharama zoote na usafiri unajikuta umetumia laki saba na ishirini (720k).
Kufika Sokoni nilitaka niuze kwa 1750@ kilo ili nirudishe gharama zangu lakini naona watu wengi wanahitaji kwa 1600-1650 na mwingine anakwambia umuuzie kwa 1300/1400.
Changamoto nyingine unaweza shusha mzigo Mkubwa kama gunia 30 ukawa unauza 1300 kwa kilo, kesho yake anakuja mwingine anashusha Mchele kama wako anauza 1000/1100 kwa kilo inakua changamoto.
View attachment 1996258
Nilichogundua kwenye hii biashara wafanyabiashara wengi ambao wanauza wenyewe wengi wanachanganya mzigo anachukua Mchele super then anachanganya na Mchele mbaya kwa macho mteja hawezi kugundua kwa haraka.
Pia hii biashara kama unataka uone faida yake ni basi inafaa uwe na mtaji Mkubwa sana la sivyo wakuu mambo yatakua ni mazito sana..
Ombi la mwisho wakuu, huo Mchele wangu kwa atakae hitaji anicheck whatsap au normal text kwa namba hii 0757590836 free delivery nitakuletetea popote pale nataka nirudishe gharama yangu nirudi kijijini nikalime.
Huu ushauri nimeuchukua, tatizo Mbeya sina ndugu sijui a,b c za huko Mimi Mchele niliagiza tu.Pole ndugu ila ,MUNGU ni mwema utapata wateja urudishe hela yako , mbeya kuzuri na fursa ni nyingi sana kama unaweza rudi mbeya , kafanye research za biashara yoyote jiwekeze , ila ishi huko huko utakuja kunishukuru badae , tatizo graduates wengi mnapenda kubanana mjini na biashara za wakubwa zenu , walioanzia vijijini , leo wako mjini baada ya mabonde na milima.
Pole sana , karibu pm , kama itakupendeza.Huu ushauri nimeuchukua, tatizo Mbeya sina ndugu sijui a,b c za huko Mimi Mchele niliagiza tu.
Maisha ni mapambano, Mimi nimepoteza hadi sasa jumla ya milioni 250 kwa biashara tofauti 15 lakini sijakata tamaa naamini zitarudi tu nipo kwenye mapambano makaliAmna Mkuu niliacha, sasahivi na deal na issue nyingine kabisa
Maisha ni mapambano, lakini Mkuu nikuulize hiyo million 250 ulianza from scratch kama Mimi ? Au ulipata booster?..Maisha ni mapambano, Mimi nimepoteza hadi sasa jumla ya milioni 250 kwa biashara tofauti 15 lakini sijakata tamaa naamini zitarudi tu nipo kwenye mapambano makali
Hapana kidogo kidogo kwa project tofauti mfano nilianzisha biashara ya kupasua mbao ndugu yangu akanipiga mbao akalala mbele hapa ikapotea milioni 8,nilinunua chainsaw milioni 1.5 kwa kuhamasika takuletea elf 30 kwa siku niliambulia laki 20 tu na mashine ikafa huku niliyemkabidhi kapata zaidi ya milioni ,sikuwa na uzoefu wa magari niliingia kichwa kichwa kununua used nikaingia gharama za kubadili KILA kitu gari ilishinda zaidi garage kuliko barabarani mfano ya mizigo nilipambana nayo ikasimama dereva akaenda nayo porini ubishi wake akapiga mzinga akaicha porini imepasua injini so gharama ya kununua injini mpya au kuivuta kuleta mjini nikaiuzia huko huko porini kwa hasara,nikanunua daladala mbili ni kama nilinunua jini la kula pesa KILA siku natoa garage gari zimesimama corona imeingia level siti biashara hailipi nimezipaki mwaka mzima kusubiria hali kwenda kuwasha hamna kitu parking nao wanadai karibu milioni plus madeni ya nikauziuza kwa hasara hata mia sikupata nikalipa madeni.plus biashara zingine nyingi tu ikiwemo kilimo plus kutapeliwa viwanja unanua kwenye kampuni tumepigwa kesi ipo mahakamani utalipwa lini, kingine nimenunua kwa mtu kakiuza tena mtu mwenyewe mchovu hata kumi ya kukupa hana imebaki madai.Maisha ni mapambano, lakini Mkuu nikuulize hiyo million 250 ulianza from scratch kama Mimi ? Au ulipata booster?..
Andika Kitabu cha maisha yako na hassle zako..., ingawa huenda usiambulie pesa ila publishing ebook ni bure..., kwa elimu hii utasaidia wengi na utabalance mizani ya kuonyesha uhalisia wa hii struggle...Hapana kidogo kidogo kwa project tofauti mfano nilianzisha biashara ya kupasua mbao ndugu yangu akanipiga mbao akalala mbele hapa ikapotea milioni 8,nilinunua chainsaw milioni 1.5 kwa kuhamasika takuletea elf 30 kwa siku niliambulia laki 20 tu na mashine ikafa huku niliyemkabidhi kapata zaidi ya milioni ,sikuwa na uzoefu wa magari niliingia kichwa kichwa kununua used nikaingia gharama za kubadili KILA kitu gari ilishinda zaidi garage kuliko barabarani mfano ya mizigo nilipambana nayo ikasimama dereva akaenda nayo porini ubishi wake akapiga mzinga akaicha porini imepasua injini so gharama ya kununua injini mpya au kuivuta kuleta mjini nikaiuzia huko huko porini kwa hasara,nikanunua daladala mbili ni kama nilinunua jini la kula pesa KILA siku natoa garage gari zimesimama corona imeingia level siti biashara hailipi nimezipaki mwaka mzima kusubiria hali kwenda kuwasha hamna kitu parking nao wanadai karibu milioni plus madeni ya nikauziuza kwa hasara hata mia sikupata nikalipa madeni.plus biashara zingine nyingi tu ikiwemo kilimo plus kutapeliwa viwanja unanua kwenye kampuni tumepigwa kesi ipo mahakamani utalipwa lini, kingine nimenunua kwa mtu kakiuza tena mtu mwenyewe mchovu hata kumi ya kukupa hana imebaki madai.
But Mimi nashukuru nimepata shule tosha kuhusu uwezekazaji na maisha. Kwa jumla nipo kwenye mapambano zitarudi tu.
Kukata tamaa ni hadi siku ya mwisho
AmeenHapana kidogo kidogo kwa project tofauti mfano nilianzisha biashara ya kupasua mbao ndugu yangu akanipiga mbao akalala mbele hapa ikapotea milioni 8,nilinunua chainsaw milioni 1.5 kwa kuhamasika takuletea elf 30 kwa siku niliambulia laki 20 tu na mashine ikafa huku niliyemkabidhi kapata zaidi ya milioni ,sikuwa na uzoefu wa magari niliingia kichwa kichwa kununua used nikaingia gharama za kubadili KILA kitu gari ilishinda zaidi garage kuliko barabarani mfano ya mizigo nilipambana nayo ikasimama dereva akaenda nayo porini ubishi wake akapiga mzinga akaicha porini imepasua injini so gharama ya kununua injini mpya au kuivuta kuleta mjini nikaiuzia huko huko porini kwa hasara,nikanunua daladala mbili ni kama nilinunua jini la kula pesa KILA siku natoa garage gari zimesimama corona imeingia level siti biashara hailipi nimezipaki mwaka mzima kusubiria hali kwenda kuwasha hamna kitu parking nao wanadai karibu milioni plus madeni ya nikauziuza kwa hasara hata mia sikupata nikalipa madeni.plus biashara zingine nyingi tu ikiwemo kilimo plus kutapeliwa viwanja unanua kwenye kampuni tumepigwa kesi ipo mahakamani utalipwa lini, kingine nimenunua kwa mtu kakiuza tena mtu mwenyewe mchovu hata kumi ya kukupa hana imebaki madai.
But Mimi nashukuru nimepata shule tosha kuhusu uwezekazaji na maisha. Kwa jumla nipo kwenye mapambano zitarudi tu.
Kukata tamaa ni hadi siku ya mwisho
Lipia tangazo lako la biashara sasa kwani lishawafikia wateja wakoKijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya kukodi meza kununua mizani so nikashindwa nikaona nijiingize kwenye issue zingine.
Nilifanikiwa kupita tandale Sokoni kuna soko kubwa linajengwa. kwa nje kuna wafanyabiashara weengi sana nikaanza kufanya research kuhusu biashara ya Mchele kwamba nautoa Mbeya then nawapa madalali wananiuzia, kwa vile niliona sihitaji kutafuta eneo la kazi wala mizani ngoja nianze kufanya hizo issue za kuuza Mchele.
Awali ya yote nilienda pale mwananyamala Sokoni nikakutana na wafanyabiashara wakubwa wa Mchele pale wakaanza kuniambia mwenyewe pale kila kilo waliochukulia mbeya wanapata faida tsh 30_50 yaani anauchukua mbeya kwa 1100 kila kilo kufika Sokoni anauza 1250/1300 akiondoa gharama zake zoote anapata faida hiyo (sema hao wana mitaji mikubwa saana).
Turudi tandale sokoni.
Mimi kwa sababu sikua na mtaji Mkubwa nilikua na around laki 7 nikajitosa kwenda kununua Mchele mzuri sio super saana ila ni mzuri.
Nilichukua mbeya kwa 1300 nikachukua kama kilo 500 total inakua ni 650,000 ukiondoa na gharama zoote na usafiri unajikuta umetumia laki saba na ishirini (720k).
Kufika Sokoni nilitaka niuze kwa 1750@ kilo ili nirudishe gharama zangu lakini naona watu wengi wanahitaji kwa 1600-1650 na mwingine anakwambia umuuzie kwa 1300/1400.
Changamoto nyingine unaweza shusha mzigo Mkubwa kama gunia 30 ukawa unauza 1300 kwa kilo, kesho yake anakuja mwingine anashusha Mchele kama wako anauza 1000/1100 kwa kilo inakua changamoto.
View attachment 1996258
Nilichogundua kwenye hii biashara wafanyabiashara wengi ambao wanauza wenyewe wengi wanachanganya mzigo anachukua Mchele super then anachanganya na Mchele mbaya kwa macho mteja hawezi kugundua kwa haraka.
Pia hii biashara kama unataka uone faida yake ni basi inafaa uwe na mtaji Mkubwa sana la sivyo wakuu mambo yatakua ni mazito sana..
Ombi la mwisho wakuu, huo Mchele wangu kwa atakae hitaji anicheck whatsap au normal text kwa namba hii 0757590836 free delivery nitakuletetea popote pale nataka nirudishe gharama yangu nirudi kijijini nikalime.
😅😅😅 daaah eti lazima mji ukufurahishe.Bro hizi manual kazi ni ngumu , cheza na mtandao upate hela boss ..!! Hzi ni ngumu mno , unatakiwa upoteze hela nyingi Sana ili ukae kwenye mstari , au upate mtu wa kukushika mkono , Dar es salaam vijana wengi wanapoteza mda Sana ,ni mji unaohtaji akili nyingi Sana kama huna proffessional ya maana lazima mji ukufurahshe