Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Atakua kameza PEP sasa amekumbwa na hallucinations za kufa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taratibu mkuu..nini kimekukuta huko mtaani?
😂😂😂😂 Unacheka kama mazuri🤣🤣🤣😂😂🤣 kama nakuona vilee..
Vumbi la kongo ukajiona wew mjanja, umefanya mapenz pekupeku na kahaba then ukanywe PEP...
Soma hiyo...
Ndio maana jamaa aliniambia kama una ngoma hazitakutesa zinakua kawaida tuNa ni hizo hizo utakunywa for life. Ukipata maambukizi.
Kuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.
Kuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.
Ikiwa ndio tabia yake. Mara ya kwanza, ya pili, ya tatu... ya nne madokta wakamfukuzia mbali.
Sijui alishajifia? au alikimbilia sipitali nyingine kuomba ARV ili ajikinge! Ujinga mzigo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe huwa unatumia?Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.
Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla
Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..
Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.