Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Wakuu hizi dawa sio mchezo, acheni tu ngono zembe usifanye kwa makusudi. Halafu utegemee umeze hizo dawa ni balaa, zinapelekesha vibaya mno, mateso yake ni kama unataka kukata roho. Zinatesa mno unakua zaidi ya mgonjwa wakati mtu huna hata unachoumwa zaidi ya kuhitaj tu kujikinga.
Mimi zimenishinda nimemeza siku nne tu balaa lake ikanilazimu nianze kumsaka yule niliyekua na mashaka naye kwa gharama yoyote mpaka nikampata nikaenda kumpima ili nihakikishe nashukuru yuko poa na madawa yenyewe nikayatupilia mbali
Tumieni kondomu au wapimeni kabla ya kuwala, vipimo siku hizi elfu mbili tu.
Hizo dawa siwashauri