Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
666
Reaction score
981
Wakuu hizi dawa sio mchezo, acheni tu ngono zembe usifanye kwa makusudi. Halafu utegemee umeze hizo dawa ni balaa, zinapelekesha vibaya mno, mateso yake ni kama unataka kukata roho. Zinatesa mno unakua zaidi ya mgonjwa wakati mtu huna hata unachoumwa zaidi ya kuhitaj tu kujikinga.

Mimi zimenishinda nimemeza siku nne tu balaa lake ikanilazimu nianze kumsaka yule niliyekua na mashaka naye kwa gharama yoyote mpaka nikampata nikaenda kumpima ili nihakikishe nashukuru yuko poa na madawa yenyewe nikayatupilia mbali

Tumieni kondomu au wapimeni kabla ya kuwala, vipimo siku hizi elfu mbili tu.

Hizo dawa siwashauri
 
PEP hazikuwekwa kwa malengo ya kufanya ngono na kukimbia kwenda kuzimeza.

Malengo ya PEP ni kwa wale waliopata hatari ya maambukizi BILA KUTARAJIA kama vile kuhudumia wagonjwa, kubakwa, kujeruhiwa na vitu vyenye ncha kali au kupata ajali inayohusisha migusano.

Na zinapaswa kumezwa kwa TAHADHARI na kwa KIASI (sparingly) - na ikibidi chini ya usimamizi wa daktari!

Ninyi makahaba mmefanya hizi dawa kama mbadala wa uhuni wenu. Umetoka huko kufirana unakimbilia kumeza dawa. Eti ujikinge!

Utameza mara ngapi! Na kadiri unavyoendelea kuzibugia kila mara lazima mwili utengeneze sumu kali na reactions zisizodhibitika.

Endelea kubugia! Nunua makopo yaweke kabatini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣😂😂🤣 kama nakuona vilee..
Vumbi la kongo ukajiona wew mjanja, umefanya mapenz pekupeku na kahaba then ukanywe PEP...

Soma hiyo...
😂😂😂😂 Unacheka kama mazuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23]GODZILLA bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.

Ikiwa ndio tabia yake. Mara ya kwanza, ya pili, ya tatu... ya nne madokta wakamfukuzia mbali.

Sijui alishajifia? au alikimbilia sipitali nyingine kuomba ARV ili ajikinge! Ujinga mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ni hatari sana, hao ndio wanafanya hata dawa ziwe adimu maana wanazitumia kwa matumizi ambayo hayajapangwa
Kuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.

Ikiwa ndio tabia yake. Mara ya kwanza, ya pili, ya tatu... ya nne madokta wakamfukuzia mbali.

Sijui alishajifia? au alikimbilia sipitali nyingine kuomba ARV ili ajikinge! Ujinga mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.

Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla

Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..

Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .
 
Na wewe huwa unatumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasoro kuharisha tu..ila hayo mengine yote yamenikuta...tena nilikua najiona kama tupo watu kumi ndan ya mwili mmoja

Back
Top Bottom