Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Ushuhuda: Hatimaye ametiki

Baada ya kuusoma huu uandishi ilibidi nirudi juu kuangalia ni chuo gani?
 
Ndiyo maana mnaingia kwenye UE na course work za single digits a.k.a 0-9 out of 40 kwa sababu ya kuendekeza mambo ya kutiki na kutotiki[emoji51][emoji51] soma kijana
Niliingia na hii course work kwenye QM na alinikamata mwalimu wa somo na ndio somo pekee limenifanya kuruka disco
 
Pole sana mkuu
Nilimpa mtu kazi anifanyie akadakwa wote tukarukishwa disco nipo mtaani nakula nyasi na nimekua mentor wa mtaa kuhusu kutake risk kwenye mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom