USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha amani ya dunia. Lakini wengi wa watu duniani wako gizani kuhusiana na hilo.

Wakati maharamia yakivamia Libya na kumuua Gadaf bila hatia yoyote, dunia nzima ilikaa kimya. Wala hakuna mtu awaye yote ambaye alikemea kitendo hicho cha kidhalimu.

Enyi west loverz, hebu msikilizeni huyu mama akiongea ukweli kwa hisia na uchungu kuhusu yale aliyoyaona na kushuhudia Libya, huku wanaume wabaya wakiinamisha vichwa chini wakisutwa na ukweli. Ukweli tupu.
 
Hawajui hao watoa misaada ndiyo wanyonya damu wakubwa duniani.

Binafsi issue ya Sadam na Ghadaff pamoja na nchi zao, inaniuma sana.
Sadamu na gadaffi walikua magaidi na madikteka kilicho wapata walistahili..ni viongozi wasio paswa kuigwa kabisa..bora walivyopotezwa wangeiletea shida dunia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bila shaka utakua mfuga ndevu, na watu wa libya walichangia kuharibu nchi
Hajua kwamba ndio ambao walitoa msaada kumsaidia iddi amini katika vita ya kagera.

Hawa wake wa kaka mwarabu wanamtindio wa ubongo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sadamu na gadaffi walikua magaidi na madikteka kilicho wapata walistahili..ni viongozi wasio paswa kuigwa kabisa..bora walivyopotezwa wangeiletea shida dunia.

#MaendeleoHayanaChama

Kati ya Libya ya kipindi cha Gadaff na sasa ipi ni bora!?
Kati ya Iraq ya kipindi cha Sadam na za sasa ipi ni bora!?

Muwe mnatumia vizuri uwezo wenu wa kufikiri, wale waliomtoa Sadam hawakuwahi taja hayo unayoyasema. Wenyewe walitaja kuwa Iraq ina mabomu ya nuclear. Unless kama kipindi hayo yanatokea ulikuwa bado mdogo.
 
Mtoa hoja usiende mbali wakati hali halisi unayo hapa,our own war na Uganda 🇺🇬 ndio uliotuletea umasikini mkubwa nchi yetu, mabeberu sio US pekee pia tuna local beberus hapa hapa Tanzania
 
Libya ya sasa ni matokeo ya Libya ya kipindi cha Gaddafi.
Udikteta na ugaidi wake ndio umesababisha majanga yote yanayoikumba Libya kwa sasa, vivyo kwa Iraq na Saddam.

Back
Top Bottom